Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini Ashirikiana na Mbunge wa CCM kuchukua Jimbo la Sugu

Makyomwango

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
322
79
Wana Jamii

Kuna uvumi kuwa mwenyekiti wa CDM katika manispaa ya Mbeya (Mwambigija)i anashirikiana na mbunge wa viti maalum wa CCM (Bi Mwanjelwa) kwa lengo la kudhoofisha nguvu ya CDM katika jimbo hilo. Inasemekana kwamba lengo lao ni kuhakikisha jimbo hilo linangukia kwa mwanamama huyo mwaka 2015.

Ikumbukwe kuwa manispaa ya Mbeya ni moja ya ngome kuu za CDM hivyo wanachama na wapenzi wa chama hiki tunatakiwa kuwa makini na viongozi wanoweza kurubuniwa kwa maslahi yao ya muda mfupi na wnanmagamba

Kamanda Dr Slaa ametangaza kuanza kwa mchakato wa uchaguzi wa viongozi kuanzia mwakani hivyo wanachama wa chadema wa mbeya na maeneo mengine wanashuliwa kuwa makini sana na viongozi wa aina hiyo ili chama kisije pata viongozi mamluki wenye tamaa ya vipesa wanaoweza kuturudisha katika azma yetu ya kuchukua dola 2015

My Take Chadema Mkoa na makao makuu waufanyie kazi uvumi kwa lengo la kuzuia kuzolotesha nguvu ya chama katika ngome hiyo ya manispaa ya Mbeya
 
Wanashirikiana kivipi mkuu mbona haujaeleweka?
na kwa taarifa yako kila mwananchama anayetoka CHADEMA kwenda upinzani anakua na nuksi ile mbaya hebu mwangalie Shitambala ( aliyekuwa mwenyekiti CDM mkoa hapo Mbeya) yuko wapi unamsikia tena?, Kafulila juzi kaabishwa ile mbaya na wale madiwani wa Arusha naop wanatamani hata kujinyonga kwa aibu wanayoipata mitaani
 
Mungu aepushie mbali hilo jinamizi,pia ikiwa ni kweli huyo mwenyekiti anafaa kupigwa chini mapema ili awe kama shitambala ambaye alijichimbia kaburi la kisiasa mwenyewe.Pia huku Bariadi-Shinyanga kuna mgogoro wa kiuongozi ndani ya CDM ambao unahitaji suluhu kutoka uongozi wa kitaifa,maana viongozi CDM mkoa mfano huyu SHILUNGUSHELA ndio wachochezi kwa maslahi binafsi!
 
Hawa kina Shilungushela ndo waliofilisi SHIRECU,huko chadema wamefata maslahi tu.
 
Back
Top Bottom