Mwenye soft copy ya tcu guide book 2014/2015.

majitta one

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
204
14
Kama kuna mjumbe yeyote anayo tcu guide book yq mwaka huu naomba anitumie kwenye whasapp yangu through 0758906933
 
Kwenye web ya tcu hii kitu haipo na hiyo ya mjumbe naitumia kudownload inasema ni too large
 
ingia tcu/nacte ipo downlod inakubal,mim nimedownload mara mbili kwenye pc mbili tofaut na zote zimekubali,usiwe mwepesi wa kukata tamaa
 
Back
Top Bottom