Msaada wa TCU Guide book 2023/2024

manji h

Member
Jul 15, 2016
48
156
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza,

Naomba kwa mwenye Soft copy ya Iyo Guide book wakuu.

Nimeingia Kwenye Page Ya TCU nimeona Tangazo kua ilikwisha tolewa from June 9, ila Nimeshindwa kupata sehem ya Kuidownload
 
TCU guide book hutolewa baada ya matokeo ya kidato cha sita,hiyo iliyotolewa june 9 ilikuwa ya 2022/2023,hii itakayo toka mwezi wa saba mwanzoni itakuwa ya 2023/2024 ndo itakuhusu,so kuwa mpole kidogo.soon wataiweka
 
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza,

Naomba kwa mwenye Soft copy ya Iyo Guide book wakuu.

Nimeingia Kwenye Page Ya TCU nimeona Tangazo kua ilikwisha tolewa from June 9, ila Nimeshindwa kupata sehem ya Kuidownload
Haijatoka...
 
Back
Top Bottom