Mwenye Smart Watch hii Inakuhusu usije tuletea andiko Humu JF Kama Ushuhuda

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,814
21,405
Jamaa adakwa kupitia saa janja yake baada ya kuonekana asubuhi muda ambao alitakiwa kuwa anaota (saa nane usiku) kumbe kachoma calories 500 πŸ˜ƒπŸ˜‚!.

20240130_214722.jpg
 
Jamaa adakwa kupitia saa janja yake baada ya kuonekana asubuhi asubuhi muda ambao alitakiwa kuwa anaota (saa nane usiku) kumbe kachoma calories 500 !.

View attachment 2889125
Duh kumbe ndiyo calories nyingi zinaenda hivyo,.!
Sasa wale wazee wa kujichukulia sheria mkononi si ndiyo watakuwa wana burn nyingi zaidi ya calories elfu kumi sasa basi haina haja ya mazoezi.
 
Duh kumbe ndiyo calories nyingi zinaenda hivyo,.!
Sasa wale wazee wa kujichukulia sheria mkononi si ndiyo watakuwa wana burn nyingi zaidi ya calories elfu kumi sasa basi haina haja ya mazoezi.
Tena hao itaonekana kana kwamba mtu alikuwa anafukuzwa na mwizi ni hatari na robo ila unategemeana na muda unaotumia kuchukua sheria, either uko home au danger time!.
 
Hii nayo inachekesha sana.
Na inachekesha kweli mkuu!.

Hapo kabla nilikaa dakika kadhaa kujiuliza why this?.

Ndipo nikapata kuelewa kumbe now days haihitaji security kubwa sana kutafuta mchawi ila ni kununua smart watch tu na kuzigawa πŸ˜ƒπŸ˜‚!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom