Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 29,980
- 32,289
hajajua tu. Laiti kama angejua asngepata wivu
Acha tu.
hajajua tu. Laiti kama angejua asngepata wivu
understood wangu!
Acha tu.
hahahahaha. Kausha wangu
upweke umenichosha mie.nimeamua bora nijiekee kibandiko kwakua kila ninapochungulia nakuta midume ilishaniwahi.natafuta mchumba<mke humu cc.vigezo na masharti badae.
M-PM member mmoja anaitwa Kavu Kuti alikuja kutafuta hapa.
Nitafute,ila ukubali kuwa mume Bwegge.
Haya sasa @ mkiva kazi kwako.
We umeshindwa kuweka sifa,hatimaye umewekewa wewe.
Ah wapi! Jdgmnt,
Me nitaitwa Mke shujaa.
Hapana,
Mama Shujaa wa kumtuliza Mwanaume kwa Limbwata.
kuna beki 3 anazagaa zagaa hapa home...kama vp njoo tuongee