mwenye sifa hizi anahtajika mke

mshana org

JF-Expert Member
Jan 28, 2012
2,091
618
upweke umenichosha mie.nimeamua bora nijiekee kibandiko kwakua kila ninapochungulia nakuta midume ilishaniwahi.natafuta mchumba<mke humu cc.vigezo na mashart badae.aliyetayari anaweza kuni pm
 
upweke umenichosha mie.nimeamua bora nijiekee kibandiko kwakua kila ninapochungulia nakuta midume ilishaniwahi.natafuta mchumba<mke humu cc.vigezo na masharti badae.

Nitafute,ila ukubali kuwa mume Bwegge.
 
hahahah Madame B umeua! Ntakupm mida unipe yale maujuz ya juzikati
 
Last edited by a moderator:
mkuu Arushaone naongelea ishu nyingine kabisa usihofu its just girls stuff!
 
Last edited by a moderator:
kuna beki 3 anazagaa zagaa hapa home...kama vp njoo tuongee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom