mwenye sifa hizi anahtajika mke

Madameb atakuwa mzuri sana kwako. Ametubana sana humu cc.

Yani Humu CC sing'atuki hata kwa Winchi.
We fikiria CC imenipatia mwanaume aliekuwa mumeo,
CC imenipa Kazi,
CC ime....,
CC ime....
We acha kbs Mamndenyi.
 
Last edited by a moderator:
Madame B kazi unayoshosti mwanaume ana wivu balaa, au kahisi mie twigastars?mtoe hofu mie mwanamke wa shoka ati!!
 
Last edited by a moderator:
Madame B kazi unayoshosti mwanaume ana wivu balaa, au kahisi mie twigastars?mtoe hofu mie mwanamke wa shoka ati!!

Yani shosti acha tu,
Mwanaume huyu ana wivu mpaka kwenye kivuli changu.
Yaani ameninunulia Niqabu eti wanaume wa Nje wasiweze kuniona.
Yani ni gubu juu ya gubu.
Kama mapenzi yenyewe ndo haya,
Ntatangaza nafasi za kazi sasa hivi.
Ndo hayo shosti.
 
Last edited by a moderator:
Yani shosti acha tu,
Mwanaume huyu ana wivu mpaka kwenye kivuli changu.
Yaani ameninunulia Niqabu eti wanaume wa Nje wasiweze kuniona.
Yani ni gubu juu ya gubu.
Kama mapenzi yenyewe ndo haya,
Ntatangaza nafasi za kazi sasa hivi.
Ndo hayo shosti.

hajajua tu. Laiti kama angejua asngepata wivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom