Mke mwema

Rotika

Member
Jan 9, 2022
10
20
Bado naamini kupitia kwenye hili jukwaa naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema.

Miaka yangu 33
Nimeajiliwa kwenye wilaya mojawapo ya mkoa wa Pwani.
Muajiriwa serikalini.
Mimi ni mrefu,Mwembamba wa wastani na niko smart kimuonekano na kiakili.

Naomba Mwanamke mwenye sifa hizi:-
Miaka 25-28
Akitokea Pwani,Dar na Morogoro itapendeza zaidi.
Mrefu wa wastani (asiwe mfupi)
Elimu yoyote, kabila lolote.
Mengine tutafahamiana zaidi pm.
 
Hello...

Hello...naomba tuwasiliane kwa email, elikanabahati394@gmail.com. Pm yangu inasumbua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom