mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 618
upweke umenichosha mie.nimeamua bora nijiekee kibandiko kwakua kila ninapochungulia nakuta midume ilishaniwahi.natafuta mchumba<mke humu cc.vigezo na mashart badae.aliyetayari anaweza kuni pm
upweke umenichosha mie.nimeamua bora nijiekee kibandiko kwakua kila ninapochungulia nakuta midume ilishaniwahi.natafuta mchumba<mke humu cc.vigezo na masharti badae.
Nitafute,ila ukubali kuwa mume Bwegge.
Nitafute,ila ukubali kuwa mume Bwegge.
Ndiyo kusema na wewe Madame utakua "mke wa "bwegge" au
"Mrs. Bwegenazi" shwari tu ?
Haya sasa @ mkiva kazi kwako.
We umeshindwa kuweka sifa,hatimaye umewekewa wewe.
Nitafute,ila ukubali kuwa mume Bwegge.
respectNitafute,ila ukubali kuwa mume Bwegge.
Nicas nitaachika kwa Rutta ujue.
Ah wapi! Jdgmnt,
Me nitaitwa Mke shujaa.
Mama shujaa wa chakula ?
lakini ukimtuliza huku unampa kutakuwa hamna shaka.Hapana,
Mama Shujaa wa kumtuliza Mwanaume kwa Limbwata.