- Thread starter
- #21
Starlet nitakupa buku jero.....
Kuwa makini. Sidhani kama kuna Starlet iliyotajwa hapo juu au macho hayaoni vizuri rafiki.
Starlet nitakupa buku jero.....
Suala la kutokuweka namba ya siri umelishupalia na kulijibu karibia kila post yako,
But mbona hujaongelea suala la bei??