Azam TV wamekuja na madishi mapya kwa ajili ya magari

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Azam Tv wamekuja na Ma dish mapya kwa ajili ya Magari

View attachment 2822271

Nazani kama una safiri kuelekea mikoanii sasa unakutana na magari ambayo yanaonyesha chaneli mbalimbali za Azam wakati wa safari? Si ndiyo umeshawahi kujiuliza Nini Azam wamefanya?

Okay zamani kabla ya Azam tulikua tukipanda gari za mikoani huwa tunakutana na michezo mbalimbali ya bongo movie haswa Mkojani watu wengi wa masasi , Mtwara, lindi wanamjua vizuri.

View attachment 2822272

Lakini Azam wameamua kuleta biashara yao ya Kingamuzi kwenye Usafiri wa magari nchini Tanzania sasa ukipanda gari unaweza kutizama channel ya Azam popote bila shida wametumia teknolijia gani?

Inaitwa mobile satellite dish hii ni teknolijia ambayo inakupa uwezo wa kuangalia vipindi mbalimbali kwenye Tv bila kujali shida kuhusu mvua, radi, mawingu au Signal eneo Fulani yenyewe inapiga Kazi popote.

Phone%20link%20%E2%80%93%202.jpg


Mobile dish hii sio kama Yale ma dish ya nyumbani hapana, yenyewe yapo duara kwa nje utaona kwenye gari lipo kama nundu ambayo material yaliyowekwa kwa nje ni kulinda lisipate tabu dhidi ya hali ya hewa na joto na Linazuia maji kuingia ndani.

Yenyewe Ina teknolijia ya aina 3
Antenna ya Duara yenye kutoa picha ya ubora wa hali ya juu yenyewe inatoa signal imara sana kuliko ma dish ya nyumbani.

Pili inachukua mawimbi Toka Sehemu tofauti na kuyakusanya pamoja tunaita compasses & gryscopes inatoa msaada kwenye dish lako kuweza kukamata mawimbi kwenye eneo lolote wakati chombo Kiko kwenye mwendo au kimesimama.

View attachment 2822273

Dish utumia njia hiyo kupeleka signal kwenye Kingamuzi kilichopo ndani bila kuleta msuguano wowote wa kukwama kwama wakati wa safari.

Tatu ni satellite meter iliyopo ndani ya dish ambayo inakagua nguvu ya mawimbi iliyopo kwenye Dish kama ndogo inaongeza nguvu na kujigeuza Geuza bila wewe kujua ili kuendelea kutoa picha zenye ubora kwa kufanya marekebisho yenyewe bila kuguswa.
 
Haiwezekan imeundwa kwa ajili ya Magari vingamuzi vya nyumbani vipo mbona

Inawezekana, sema Haina tija Kwa sababu gharama itakua kubwa bila tija.

Kile kama ulivyoeleza, kina dish lake Lina mfumo wa kuzunguka kufuata chanzo na uelekeo wa mawimbi. Sasa Kwa nyumbani Kwa vile haubadilishi uelekeo, hausogei, ni Bora kuweka vile vya nyumbani.
 
Back
Top Bottom