Mwenye hadithi

ok sis, basi ukimaliza nistue nije kula make nahc ubao wa kufa mtu. . .
tuendelee, basi fisi akakataa kubadilisha majani kwa nyama na sungura. sungura akakasirika wakaanza kupgana ila fisi akamshinda sungura nguvu. kuanzia cku hyo fisi na sungura ni maadui!

Na wakikutana popote lazima wapigane lol

Na hadithi yetu ikaishia hapo.......sis tujipange afta dina tuje tumsimulie ile ya tembo na simba!
 
Khaaa! Shemu mie najipinda kukutetea dau liongezwe afu wewe ushalikubali? .....


wacha na mie nipite na MwafrikaHalisi!

Sasa huko mbele shem njia haitoki na Mwanahalisi keshatangulia , na hili giza ! Itakuakuaje !
Nimemkubalia buku , si anapiwa kiasi cha pesa yake!
 
Last edited by a moderator:
WEWE TAFUTA NOVEL BOOKS UWEKE NDANI UKIWA NA MAFRASTRESHEN UNASOMA. KAMA NGUMU KATUPIE GRANT'S AU TIA MARIA AMA HATA UKITUPIAMO KONYAGI KUBWA UTAKUWA BWAX NA UTALALA TU. Bwana mdogo acha stress bana.
 
WEWE TAFUTA NOVEL BOOKS UWEKE NDANI UKIWA NA MAFRASTRESHEN UNASOMA. KAMA NGUMU KATUPIE GRANT'S AU TIA MARIA AMA HATA UKITUPIAMO KONYAGI KUBWA UTAKUWA BWAX NA UTALALA TU. Bwana mdogo acha stress bana.

kwanza kusoma novel cwezi, labda magazeti ya udaku, hvyo vingine kumesa itakuwa ngumu, hlf me co bwana mdogo, ni bi mdogo, toa hadithi buc unazosoma kwenye mivitabu ili nipate ucngizi.
 
bwana mmoja alifiwa na mkewe, wakati wa mazishi babake akawa anamfariji kwani jamaa alionekana anahuzuni sana.
Baba: usihuzunike mwanangu, kuwa mvumilivu, pengine baada ya miezi 6 utapata mwanamke mwingine na maisha yatarudi kama zamani.
Jamaa (tena huku akiwa kataharuki):
miezi 6?
Mi hapa nawaza nitafanyaje usiku wa leo.

peri nawe, hii ni hadithi au comedy, ila nimeipenda, nyingine pls
 
Paliondokea watu wawili mtu na mkewe.
Mke alipata mimba,siku ya kujifungua ikafika lakini bahati haikuwa upande wake kwani wote wawili walifia Labour.
Mume alipopewa taarifa kwamba mkewe na mwanae wamekufa,nae akanywa sumu.
Na Hadithi Yangu Imeishia Hapa.

Ujumbe:
Wanaume jitahidini kuoa wake wengi ili kuepuka kukosa vyote.

Ngoja nimwambie kaka aongeze kama 6 hivi.ukifika wakati wangu nitaoa dozen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom