Mwenye hadithi

Kama ndo hvo,mpe haki yake bwan' Jdg!
Maana awali ni awali tu.

Naomba kuweka sawa isije ikani'cost !
Madame afute kauli "mpe Jg haki yake!"
Mimi "Haki yangu napewa na BeibeNasty , hadi navimbiwa!"
Instead of isome anipe my trophy!
 
Naomba kuweka sawa isije ikani'cost !
Madame afute kauli "mpe Jg haki yake!"
Mimi "Haki yangu napewa na BeibeNasty , hadi navimbiwa!"
Instead of isome anipe my trophy!

Wewe ulijua haki ipi?
Tz ni Zaidi ya Uijuavyo.
 
Nitolee uchuro! Kujifanya hujui nilichokilenga!
Kama wajifanya unashinda kwenye jumba la sanaa! Wenzio ndo twalalia humohumo jumbani !

Mbona wanihukumu pasipo kuwa na ushahidi thabiti?
Me bado mtoto,cjui chochote.
Ndo kwanza ni anda the age of ei tini.
 
Mbona wanihukumu pasipo kuwa na ushahidi thabiti?
Me bado mtoto,cjui chochote.
Ndo kwanza ni anda the age of ei tini.

Unafik at works !
Afu wewe umekuaje?
Hivi wataka kumchinjia mtu baharini mchana kweupe ng'ombe bado wanakula majani ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom