Mwenye hadithi

Paliondokea watu wawili mtu na mkewe.
Mke alipata mimba,siku ya kujifungua ikafika lakini bahati haikuwa upande wake kwani wote wawili walifia Labour.
Mume alipopewa taarifa kwamba mkewe na mwanae wamekufa,nae akanywa sumu.
Na Hadithi Yangu Imeishia Hapa.

Ujumbe:
Wanaume jitahidini kuoa wake wengi ili kuepuka kukosa vyote.

Mh thina la kuthema.
 
poapoa, hyo hyo ya buku naisubilia.

Mida ni jioni muuza bucha ameshakata tamaa nyama iliyobaki kg 2 steki na kg 2 mchanganyiko zitalala.
Ghafla anamuona Mbwa aliyekua na kijikaratasi mdomoni kilichoandikwa ujumbe na shingoni kavalishwa mfuko.
Mbwa yule alisimama pale wasimamapo wateja na kisha akawa akitikisa mkia.
Utikisaji wa Mbwa mkia ni ishara kua hakuja kwa shari bali yuko hapo kiamani .
Muuza bucha aliichukua ile karatasi akaikunjua na kukuta ujumbe uliosoma
"Tafadhali mpatie huyo Mbwa wangu kg 2 mchanganyiko na kg 2 steki , please weka nyama kwenye mfuko, na kwenye mfuko huohuo chukua pesa ya manunuzi"

Muuza bucha alitekeleza maagizo yote kama alivyoagizwa.
Na kwakua ile ndiyo ilikua nyama ya mwisho, soon mbwa anaondoka nae akafunga bucha na kuondoka.
Alipofika stand ya town bus akamkuta mbwa yule mteja wake nae yupo anasubiri bus.
Ikamjia huruma flani hivi kwamba amfatilie mbwa yule pengine anaweza kutokea kibaka akampora nyama aliyobeba.
Bus likafika na kwa bahati nzr wakapanda bus moja.
Na kondakta alipofika kwa mbwa akachukua kadi maalum iliokua shingoni pia akaitiki na kuirudisha.
Muuza bucha alipoidadisi kadi ile akakuta ni ticket iliyolipiwa kwa msimu wa miezi 6 mara akamuona mbwa yule amesogea mlangoni na bus ikasima mbwa aliposhuka nae akashuka kwa nia ya kumlinda.
Mbwa akawa ameelekea kwenye nyumba iliyokua karibu na yenye geti kubwa la chuma.
Mbwa alipofika getini akaanza kubweka.
Na mara akaona mwenye nyumba anafungua mlango na hapohapo akaanza kumshushia kipigo mbwa wake.
Hiyo hali ilimpa mshtuko muuza bucha , kwani kwanza ni nadra sana kupata mbwa aliyefunzwa kivile na akafanya huduma kivile , kama binadamu, pili alisham'regard kama mteja wake aliyem'malizia mauzo ya siku ile.
Hivyo akajikuta ameingilia kati kuamua mbwa yule aachwe kupigwa , na akataka kujua ni sababu ipi iliyofikia mbwa yule mstaarabu na ginias apigwe.
Mwenye nyumba akamjibu hivi
"Huyu mbwa leo kaniudhi sana, utaratibu niliokwisha mfundisha daily akitoka ni lazima aondoke na ufunguo wa geti, ili akirudi anafungua geti mwenyewe na kuingia ndani , sasa leo kasahau kuondoka na funguo, so ameni disturb mimi kuja kumfungulia"

Muuza bucha akabaki mdomo wazi !
MWISHO .
 
Pwaaa Pwaa Pwaa Pwaa (HONGERA),
Pwaa Pwaa Pwaa Pwaa (IMARA),
Pwaa Pwaa Pwaa Pwaa (WAAAA)
 
abee, nipo nilikuwa nasinzia, mana nasoma huku nacheka, mara nacheka huku nasinzia, athante sana kwa hadithi yako, sasa vocha yako niku2miaje?
 
Asante mdau! Bora na wewe umenipokea ! Tofauti na mleta mada , hata harufuye siioni !

me nipo, nilikuwa naangalia tamthilia, mana co mahg 2 wanaofatilia, haya ngoja nikupongeze, pwaa pwaa pwaa pwaa pwaaa, safi sana.
 
abee, nipo nilikuwa nasinzia, mana nasoma huku nacheka, mara nacheka huku nasinzia, athante sana kwa hadithi yako, sasa vocha yako niku2miaje?

Hyo vocha tuma kwa wote tuliosimulia Hadithi,
Mambo ya Ubaguzi hukohuko kwenu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom