nikisema mmepewa libwata mnanisema haya sasa idadi ya mademu ni wengi ma men wachache
huyo mnyama alichoka akaniomba msaada
Kumbe na wewe umeiona eeh ? Humu vitasa ni vya kumwaga!
Funguo kiduchu!
Si mturuhusu tumiliki vitasa japo viwiliviwili ?
Wapendwa, mwandaaji wa Zunduna Show bibie Zinduna ameniachia jukumu la kuchagua atakayeendesha kipindi na atakayekuwa mgeni so nafikiria haya:
Mwendeshaji awe Bishanga na mgeni awe The secretary ila nahofia ngumi kuzuka katikati ya kipindi
Mwendeshaji awe platozoom na mgeni awe charminglady -Nahofu wanabembelezana kurudiana
Mwendeshaji awe Mr Rocky na mgeni awe Yummy -Hawa nahisi watazungumzia mimba yao na Kijacho chao
Mwendeshaji awe Erotica -Mh nahofia atabadili Chit-Chat kuwa Jukwaa la wakubwa
Mwendeshaji akiwa Kaizer na Mgeni CUTE -Kaizer atamtongoza Cute muda wote hadi aharibu kipindi
Mwendeshaji akiwa beibe nasty na mgeni Judgement -Hawa nahisi watazungumzia Sato na Sangala tu
Mwendeshaji awe mtu chake na Mgeni Preta -Heheheee TANMO na KakaKiiza wataharibu show kwa wivu
Mwendeshaji akiwa cacico na mgeni Young_Master Mh hawa sijajua kama hawana visasi
Mwendeshaji akiwa Asprin na mgeni Catherine nahofia anaweza fanya ukaguzi katikati ya Show
Mwendeshaji akiwa sweetlady na Mgeni awe Kongosho -Watabaki kupiga umbea tu lol
Mwendeshaji akiwa BADILI TABIA na mgeni BAGAH -hawa hawajatulia show itanoga
Mwendeshaji awe Smiling Saint -Atamsahau mgeni na kuanza safari zake
Au natamani mimi niwe Mwendeshaji na Mgeni awe Amyner ila nahofia wambea kuniharibia tena
Au Roulette awe Mwendeshaji na Mgeni awe Invisible Lol nahisi show itakuwa bomba sana
Jamani nawaombeni mnisaidie kupata wahisika kabla ya jumamosi na watakaochaguliwa wahakikishe wanaandaa show mapema!
Kwa niaba ya Zinduna naomba kuwakilisha
Erickb52
Dah hope jumamosi ntakuwa uwanjani na wewe wakati show inaendelea hewaniWala si hatari........ni burudani tosha, tena ni afya.
Halafu anatakiwa kutuhoji watazamaji live toka kwenye uwanja wa Sita kwa Sita.
Heheheee KakaKiiza unadhani show akiendesha mtu chake na Preta utavumilia?
Mkuu punguza distabansi niko mazoezini nafanya ukaguzi huku....
tupo kwenye kipindi cha mpito....ni upepo tuHeheheee Excellent kwani nanyinyi mko kwenye hali ya SINTOFAHAMU kama akina Young_Master na cacico ?
Mbona anakukimbia sana