Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Wapendwa, mwandaaji wa Zunduna Show bibie Zinduna ameniachia jukumu la kuchagua atakayeendesha kipindi na atakayekuwa mgeni so nafikiria haya:
Mwendeshaji awe Bishanga na mgeni awe The secretary ila nahofia ngumi kuzuka katikati ya kipindi
Mwendeshaji awe platozoom na mgeni awe charminglady -Nahofu wanabembelezana kurudiana
Mwendeshaji awe Mr Rocky na mgeni awe Yummy -Hawa nahisi watazungumzia mimba yao na Kijacho chao
Mwendeshaji awe Erotica -Mh nahofia atabadili Chit-Chat kuwa Jukwaa la wakubwa
Mwendeshaji akiwa Kaizer na Mgeni CUTE -Kaizer atamtongoza Cute muda wote hadi aharibu kipindi
Mwendeshaji akiwa beibe nasty na mgeni Judgement -Hawa nahisi watazungumzia Sato na Sangala tu
Mwendeshaji awe mtu chake na Mgeni Preta -Heheheee TANMO na KakaKiiza wataharibu show kwa wivu
Mwendeshaji akiwa cacico na mgeni Young_Master Mh hawa sijajua kama hawana visasi
Mwendeshaji akiwa Asprin na mgeni Catherine nahofia anaweza fanya ukaguzi katikati ya Show
Mwendeshaji akiwa sweetlady na Mgeni awe Kongosho -Watabaki kupiga umbea tu lol
Mwendeshaji akiwa BADILI TABIA na mgeni BAGAH -hawa hawajatulia show itanoga
Mwendeshaji awe Smiling Saint -Atamsahau mgeni na kuanza safari zake

Au natamani mimi niwe Mwendeshaji na Mgeni awe Amyner ila nahofia wambea kuniharibia tena
Au Roulette awe Mwendeshaji na Mgeni awe Invisible Lol nahisi show itakuwa bomba sana
Jamani nawaombeni mnisaidie kupata wahisika kabla ya jumamosi na watakaochaguliwa wahakikishe wanaandaa show mapema!
Kwa niaba ya Zinduna naomba kuwakilisha
Erickb52

Ulijuajeeeee..........unaoteshwa nini ndugu???
 
Kumbe na wewe umeiona eeh ? Humu vitasa ni vya kumwaga!
Funguo kiduchu!
Si mturuhusu tumiliki vitasa japo viwiliviwili ?
Hahahaaaa Judgement mi naomba kwenye huo mgao Remmy nabaki nae asaidiane na Amyner wangu wa ukweli lol
 
Last edited by a moderator:
Wala si hatari........ni burudani tosha, tena ni afya.
Halafu anatakiwa kutuhoji watazamaji live toka kwenye uwanja wa Sita kwa Sita.
Dah hope jumamosi ntakuwa uwanjani na wewe wakati show inaendelea hewani
Duh ntapata mauzoefu ya kutosha toka kwa Erotica
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaaa ila isije kuwa ni mapacha watano kama wa Erotica maaana hukawii kuwa na mmoja wa Kaizer mmoja wa Asprin mwingine wangu na mwingine wa Bishanga maana kwenye msululu wote tumo plus wa Mr Rocky
Heheheeee hatariii
Mkuu punguza distabansi niko mazoezini nafanya ukaguzi huku....

attachment.php
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom