Mwarabu mwingine apewa mkataba wa kufanya utafiti, kazi ambayo ingefanywa na wataalamu wetu

Kuna kila dalili uongozi wa juu nchini kuna mtu ambaye ni mwarabu na bado hatujamfahamu vizuri ubini wake
 
Hakuna mmatumbi au mswahili angewaza hiyo kazi kwani kutumia 2$million kwa siku kwenye utafiti wa gas na oil ni nyingi sana alafu mitambo shida tuwe wakweli uwezo bado mdogo na mtaji hakuna
 
Tusipende lalamika kila kitu.

Hizo kuna tender hutangazwa na watu hujitokeza,mwenye vigezo ndo hupewa...
Mazee haya mambo yanahitaji upeo.

Wewe Una upeo ..ndo maana unawashangaa hawa.

Exposure ni kitu kikubwa sana
 
Kushirikiana kwenye tafiti sio jambo baya, tena ni muhimu sana kwetu maana tutavuna ujuzi mwingi.

Nyinyi wenye upeo muwe front kuelimisha makundi ya wajinga humu.

Manake hata Neno 'kushirikiana" linatakiwa nalo lifanyiwe tuition.

Taifa Lina wajinga wengi
 
Tunawaomba Watanzania wa dini zote,Waislamu, Wakristo, Wachungaji na Mashehe na WA jadi, tufunge tarehe 14,15,16 kuomba mapenzi ya Mungu yakafanyike kwa Tanganyika na Tanzania, ahsanteni sana.

Wakili Boniface Mwabukusi.

Mwisho wa kunukuu....
 
Tunawaomba Watanzania wa dini zote,Waislamu, Wakristo,Wachungaji na Mashehe na WA jadi, tufunge tarehe 14,15,16 kuomba mapenzi ya Mungu yakafanyike kwa Tanganyika na Tanzania, ahsanteni sana.
Wakili Boniface Mwabukusi.
Mwisho wa kunukuu....
Tunafunga na kuomba mwabukusi aonywshwe makuu

Asimkejeli Mungu
 
Hakuna mmatumbi au mswahili angewaza hiyo kazi kwani kutumia 2$million kwa siku kwenye utafiti wa gas na oil ni nyingi sana alafu mitambo shida tuwe wakweli uwezo bado mdogo na mtaji hakuna
Hawatafuti gesi au mafuta. Ni market research ya ukubwa wa soko la natural gas ( gesi asilia). Soko katika matumizi ya nyumbani, vyombo vya usafiri n.k. Swali ni kuwa kweli hatuna consultants wa kwetu ambao wanaweza kufanya kazi hii hasa ukizingatia lugha na utamaduni wetu katika matumizi ya nishati majumbani?
Amandla...
 
Back
Top Bottom