peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 13,008
- 21,731
Kuna kila dalili uongozi wa juu nchini kuna mtu ambaye ni mwarabu na bado hatujamfahamu vizuri ubini wake
ImerudishwaSi Slaa alisema gesi yote imeuzwa nje ya Tanzania? Vipi tena.
Mazee haya mambo yanahitaji upeo.Tusipende lalamika kila kitu.
Hizo kuna tender hutangazwa na watu hujitokeza,mwenye vigezo ndo hupewa...
Kushirikiana kwenye tafiti sio jambo baya, tena ni muhimu sana kwetu maana tutavuna ujuzi mwingi.
Kuna watu wamekua wapuuzi sana hapa bongoTusipende lalamika kila kitu.
Hizo kuna tender hutangazwa na watu hujitokeza,mwenye vigezo ndo hupewa...
Hata cr7 wanayeWaarabu wanachukua kombe mwaka huu
Tunafunga na kuomba mwabukusi aonywshwe makuuTunawaomba Watanzania wa dini zote,Waislamu, Wakristo,Wachungaji na Mashehe na WA jadi, tufunge tarehe 14,15,16 kuomba mapenzi ya Mungu yakafanyike kwa Tanganyika na Tanzania, ahsanteni sana.
Wakili Boniface Mwabukusi.
Mwisho wa kunukuu....
Hawatafuti gesi au mafuta. Ni market research ya ukubwa wa soko la natural gas ( gesi asilia). Soko katika matumizi ya nyumbani, vyombo vya usafiri n.k. Swali ni kuwa kweli hatuna consultants wa kwetu ambao wanaweza kufanya kazi hii hasa ukizingatia lugha na utamaduni wetu katika matumizi ya nishati majumbani?Hakuna mmatumbi au mswahili angewaza hiyo kazi kwani kutumia 2$million kwa siku kwenye utafiti wa gas na oil ni nyingi sana alafu mitambo shida tuwe wakweli uwezo bado mdogo na mtaji hakuna