Mwanza: Wabunge wawili wa CHADEMA wapigwa mapanga na mmoja yupo hoi!

Sasa ccm wameamua kuvuruga amani kwa makusudi.hutuna jinsi sasa itabidi itabidi kitu kipya kifanyike..
 
kwanini wasikamatwe instead wajeruhiwe kama kweli wao ni wastaarabu .........coz kila kilichokatazwa kisheria kinabidi kiadhibiwe kisheria kwann wao wafanyiwe tofauti ........ na hao wana ccm walikuwa wanafanya nn maeneo hayo tena wakiwa na silaha kama mapanga na kadhalika ..... kati ya hayo makungi mawili yapi yalibidi ya dhaniwe ni yawezi ....... hili swala bora litazwe kwa pande zote mbili c upande mmoja 2 ........ na kwann wanakuwa ni wana ccm 2 ndio wakuwajeruhi wengine na kisha kuachiliwa huru ....... coz ingekuwa ni wana cdm tayari wameshakamatwa .......... hii hali mpaka lini jaman ...... haipendezi .......
 
2015 ni mbali sana mkuu hatuwezi kuona damu zinaendelea kumwagika tukae kimya tukisubiri 2015!! hapana right time ikija tutaenda ku occupy magogoni!!
Sure mkuu,
Mpaka ifike 2015 watakua washakufa wengi sana.
 
Inasikitisha sana hususani inapogundulika kuwa makundi fulani yanatutumia vijana kuumizana na kuuwana kwa tofauti ya kiitikadi. Ni vema vijana tukaacha itikadi zetu tuungani tuijenge Tanzania.
 
Nimepokea kwa masikitiko makubwa haya yaliotokea...ni jambo ambalo linatia chagizo kwenye mbegu mbaya ya kuondoa umoja wa taifa letu.Tusaidiane watanzania wote kulaani jambo hili .....viongozi wetu pia mtusaidie kufata sheria za uchaguzi,kampeni za usiku mbona zimeshazuiwa wao usiku wanapita pitaje majumba ya watu.poleni any way na watu wasijichukulie sheria mikononi tafadhali.

ulikuwepo kwenye eneo la tukio? Au pole za kinafik!
 
Sure mkuu,
Mpaka ifike 2015 watakua washakufa wengi sana.
Maneno huumba mkuu cha kufanya tuombe tu Jeshi la Police lifanya kazi yake kiuhalali na liwakamate wahalifu wote waliojihusisha na kitendo hicho cha ukatili na mahakama ifanye kazi yake
 
CCM wanadhani wametuweza! Tupo Kirumba kila mtu ana chupa ya maji mkononi; polisi wakitutupia mabomu ya machozi tutaosha macho kwa maji huku tukiendeleza bidii yetu yakuitaji haki yetu ya kidemokrasia
 
IT IS TOO HARD FOR TANZANIANS TO CHEW THIS...........

POLISI SIO RAFIKI WA RAIA TENA,HAKUNA TOFAUTI KATI YA POLISI NA JAMBAZI SUGU,
HAKUNA TOFAUTI KATI YA MGAMBO NA JAMBAZI,
HAKUNA TOFAUTI KATI YA SUNGUSUNGU NA VIBAKA,
HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA ALQAEDA...............and the list goes on and on
 
Mi ndo naamka na kukutana na hii habari jamani. Tell me, ni utani wa April Fools' Day? Or is this real?
 
Poleni sana Machemli na Kiwia (Majembe ya CDM). I believe this is a CCM tactic sponsored by the official CCM authority,NAPE and MUKAMA not to wonder.It has been done specifically to deviate the attention of voters and then create an opportunity for votes stealing.The time for CCM is countable.

We will always emphasise it is CCM that will create instability in this Country.GOD BLESS TANZANIA GOD BLESS CHADEMA.
 
Sungu sungu siku zote ni wauaji na ndio maana ilikufa, ni wauaji wakubwa na wakiukaji wa haki za binadamu wa kwanza kabisa.

Mtu yeyote alikutana na sungu sungu anajua karaha yake, kuua ni kawaida ya baada kukutesa!
 
CCM wanatawala kwa mkono wa chuma! Upole wetu tu ndio sometimes unaficha unyama walionao! Nioneni kichaa lakini bila kumwaga damu hatuwatoi madarakani! Hoja hazitatusaidia! Nguvu ya umma tu!
 
Pambaneni our real soldiers, ukombozi ni sasa na we are always behind of you, haki itatendeka kuzima moto huu CCM watuue wapigania haki wote wa nchi hii, poleni ndugu na jamaa wa familia ya machemli na ndugu Kiwia
 
Back
Top Bottom