Mwanza: Wabunge wawili wa CHADEMA wapigwa mapanga na mmoja yupo hoi!

Kama mlivyosikia na kuona kwenye vyombo vya habari kwamba Waheshimiwa Samson Kiwia(Ilemela) na Machemuli(Ukerewe) wamejeruhiwa vibaya sana.Nikujuze tu mwanaJF kwamba ilikuwa ni hesabu kali ilipigwa na watu wa CCM Mwanza na ingekwenda sawa tungekuwa tunaongea mengine kwamba Kiwia na wenzake wangekuwa ndani kwa kosa la kuua au kujeruhi kwa bastola.Alipigiwa simu usiku wa manane na watu kwamba CCM wanagawa rushwa na alipofika huko akakuta sio.Ktk kurudi ndio akakuta ameshawekwa kati ya gari mbili zenye watu hao waliomjeruhi.Lakini nao pia walipiga simu polisi na kudai CHADEMA walikuwa wakigawa rushwa.Kwa mujibu wa ManaCCM aliyerejea Chadema leo,ilikuwa vyombo vya habari viripoti"MBUNGE AUA KWA RISASI MWANZA"au"MBUNGE AJERUHI KWA RISASI MWANZA" Ili kwamba watu wa Kirumba wasiichague Chadema.Kwa busara zake Mh.Kiwia aling'amua mtego huo na alijeruhiwa.Kwa ufupi tu hilo ndilo pozi lililoandaliwa na CCM.
 
Chadema gotta learn this: hata kama hatuiamini pccb inabidi iwe involved at some point. Hii manhunting ina gharama zake! Mungu nae ana sehemu yake bwana, ngoja tutaona mwisho wake.
 
Kama mlivyosikia na kuona kwenye vyombo vya habari kwamba Waheshimiwa Samson Kiwia(Ilemela) na Machemuli(Ukerewe) wamejeruhiwa vibaya sana.Nikujuze tu mwanaJF kwamba ilikuwa ni hesabu kali ilipigwa na watu wa CCM Mwanza na ingekwenda sawa tungekuwa tunaongea mengine kwamba Kiwia na wenzake wangekuwa ndani kwa kosa la kuua au kujeruhi kwa bastola.Alipigiwa simu usiku wa manane na watu kwamba CCM wanagawa rushwa na alipofika huko akakuta sio.Ktk kurudi ndio akakuta ameshawekwa kati ya gari mbili zenye watu hao waliomjeruhi.Lakini nao pia walipiga simu polisi na kudai CHADEMA walikuwa wakigawa rushwa.Kwa mujibu wa ManaCCM aliyerejea Chadema leo,ilikuwa vyombo vya habari viripoti"MBUNGE AUA KWA RISASI MWANZA"au"MBUNGE AJERUHI KWA RISASI MWANZA" Ili kwamba watu wa Kirumba wasiichague Chadema.Kwa busara zake Mh.Kiwia aling'amua mtego huo na alijeruhiwa.Kwa ufupi tu hilo ndilo pozi lililoandaliwa na CCM.

kweli hiki ni chama cha majambazi.
 
Ccm ilishagakufa siku nyingi inachotafuta kwa sasa ni watu wa kufa nayo tu basi, nina imani kubwa sana damu ya kutosha tu itamwagika tanzania wakati ccm inakata roho,tusife moyo kwani haijaanzia kwetu
 
Kwanza nawaombea Mungu wote waliojeruhiwa wapate nafuu ya haraka ili waweze kuendelea na shughuli za kulijenga Taifa letu; hiki kitendo ni cha aibu na kinapaswa kukemewa kwa nguvu zote siasa si uhasama ni kushindana kwa hoja, naamini kabisa CCM kama chama hakihusiki na kitendo hiki cha kihuni; wote waliohusika wachukuliwe hatua kali za kisheria bila kujali ni wa chama gani na wanawadhifa gani; hali lazima ikomeshwe na adhabu kali kwa wahusika ili iwe fundisho.
Amani na upendo ni jukumu la kila mtanzania.
Mungu ibariki Tanzania.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Kitu kibaya ninachokiona ni namna CCM wanavyojua kucheza na njaa ya Watanzania. Wameendeleza njaa hiyo kwa miaka yote 50 tangu tupate uhuru wa bendera ili waitumie kulinda maslahi yao Ikulu. Niafahamu kuwa JK ni janga nchi hii lakini naona mwanga kupitia kwake kwa kuwa amedhamiria kwa dhati huyu mdudu CCM afie mikononi mwake. Ila siku zao hao magamba zinahesabika na tena si nyingi sana!
 
mfa maji haachi kutapatapa, huu ndio mwisho ccm hata wafanyeje..... walitunyanyasa sana, wametuonea sana, wametukandamiza sana, sasa basi inatosha..
 
Kama mlivyosikia na kuona kwenye vyombo vya habari kwamba Waheshimiwa Samson Kiwia(Ilemela) na Machemuli(Ukerewe) wamejeruhiwa vibaya sana.Nikujuze tu mwanaJF kwamba ilikuwa ni hesabu kali ilipigwa na watu wa CCM Mwanza na ingekwenda sawa tungekuwa tunaongea mengine kwamba Kiwia na wenzake wangekuwa ndani kwa kosa la kuua au kujeruhi kwa bastola.Alipigiwa simu usiku wa manane na watu kwamba CCM wanagawa rushwa na alipofika huko akakuta sio.Ktk kurudi ndio akakuta ameshawekwa kati ya gari mbili zenye watu hao waliomjeruhi.Lakini nao pia walipiga simu polisi na kudai CHADEMA walikuwa wakigawa rushwa.Kwa mujibu wa ManaCCM aliyerejea Chadema leo,ilikuwa vyombo vya habari viripoti"MBUNGE AUA KWA RISASI MWANZA"au"MBUNGE AJERUHI KWA RISASI MWANZA" Ili kwamba watu wa Kirumba wasiichague Chadema.Kwa busara zake Mh.Kiwia aling'amua mtego huo na alijeruhiwa.Kwa ufupi tu hilo ndilo pozi lililoandaliwa na CCM.

Nawapa pole majeruhi, mimi siamini kwamba chama cha mapinduzi kinaweza kutoa amri ya kumjeruhi mbunge wa Ilemela-kwa mawazo yangu mimi naona hii ni mipango ya kikundi fulani within CCM kilijichukulia sheria mkononi na kufanya unyama huu bila kujua kwamba wanakidhalilisha CHAMA. Kama ushaidi wa kutosha utapatikana basi watu hao wanapashwa kushughulikiwa kama waharifu-na hili ni kosa la jinai.

Viongozi wa CCM wengi wao wana busara sana hawawezi kushiriki katika mambo ya kihuni.
 
Back
Top Bottom