afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
Nilham si unajuwa hashy kakimbia na michelle ? unaonaje ukilikubali ombi la rafiki yangu Klorokwini.
ati nini???

ndo hivyo habibty vip hal yako zaid??? nakumiss tuuu...
mimi mbona hiyo story hukunipa dear..
mmhh sema nini kulikoni nije kukuliwaza kipenzi.
mmhh nimekumiss wewe..
nini kulikoni dear mbona umepotea hivyo??
ni mihangaiko tuu swweaty kwa ajili i'm about to get marridge... that's why sina kituo...ishallah kher nitatulia tuu tupeane michapo.... na mi hizi habar za hash ndio nimezipata hapa kutoka kwa uporoto...kwanba keshatoka na michelle.... ok mi nanamuacha na michelle yake sijui ya basmat au kipishori atajijua...

We umepotelea wapi tena????
Mbona sijapata kadi ya mwaliko
habari yake bana.......umemwona AD?
dume lazima liwe jasiri kila siku, sio kushangaa shangaa...ebo
Laima uwe demu la mbegu eti eheee!!!!!!!
Si unaonana juhudi nazofanya kwa ajili ya mshikaji Klorokwini ? lakini yeye anauma na kupuliza.Uporoto 01 haya banaaa
hehehe dah! ndio kwanza naona hii sredi, wewe ndio swahiba wa ukweli bana. acha nianze kuhifazi dikshineri la kiarabu, huwez kujua mipango ya mungu.Si unaonana juhudi nazofanya kwa ajili ya mshikaji Klorokwini ? lakini yeye anauma na kupuliza.
Mwanaume anaeona aibu ni unamtoa nduki tu manaake atakuletea usingizi tu. Hakuna kitu hapo liende jando kwanza likafundwe.
ni mihangaiko tuu swweaty kwa ajili i'm about to get marridge... that's why sina kituo...ishallah kher nitatulia tuu tupeane michapo.... na mi hizi habar za hash ndio nimezipata hapa kutoka kwa uporoto...kwanba keshatoka na michelle.... ok mi nanamuacha na michelle yake sijui ya basmat au kipishori atajijua...
habari yake bana.......umemwona AD?
Ahaaaa!!!! Hommie yupo baana sijui kakimbilia wapi