Mwanaume kuona AIBU mbele ya mwanamke ni UDHAIFU mkubwa, na tabia mbaya

mmmhhhh MR.president na Wameiba kura

Kabila lenu lina eleza kila kitu....
mmmmhhhh ndo maana
sishangai kwa kweli lol

what do u mean? Wameiba kura & me are of the same tribe? anyway how can u associate tribe with the post?
i don't get it, nadhani the topic inasema unaweza kukuta Mwanaume ni muongeaji mzuri but infront of a woman anakuwa mdogoooo
but i don't know how tribe comes up.........unrelated.:A S 112::A S 112::A S 112:
 
Sasa confidence uionyeshe kwa kila mwAnamke si utaoa mji mzima? Mi sasa hivi sioni sababu ya kumdanganya mtu....acha accident ziwe zinatokea lakini hiyo ya oooh you know you know you know wala haina tija tena kwangu.
 
what do u mean? Wameiba kura & me are of the same tribe? anyway how can u associate tribe with the post?
i don't get it, nadhani the topic inasema unaweza kukuta Mwanaume ni muongeaji mzuri but infront of a woman anakuwa mdogoooo
but i don't know how tribe comes up.........unrelated.:A S 112::A S 112::A S 112:

duuuhh
come down..
that was a jock...
don't give urself pressure for nothing lol
chill out is weekend..

nway sorry if i offend u lol
 
Hadi leo unakutana na mwanaume anaona AIBU anapokutana na DEMU au mwanamke
yaani mara anaangalia chini, kushika kichwa, mara ageuke nyuma.....aarrrrrrgghh
mm kama mwanaume kama nimemwoana mwanamke kapendeza au nataka kumtokea
mara moja namsogelea nipo sooooo smart kwa kila kitu, namwongelesha kwa BIGGEST
EVER confidence, namwabia kapendeza, ana manyonyo mazuri nimezimika kwake,
ana makalio ya kufa mtu naomba walau tuonane tuwe na contact tuonane siku
mwafaka, akikubali mtoe kwa soft drink hapo hapo, m drive back home, mweleze
alivyokugusa moyo, then utapata, sasa DUME zima eti anaona aibu whaaaaaat? utasikia
mechi uwanja wa Taifa tu, hutacheza ng'oooo

I am one of those.

Huwa najisikia aibu sana mbele ya wanawake. Sijui ni kwanini, lakini huwa naona aibu sana na sometimes huwa nakosa cha kuongea au huwa napata shida ya kuanzisha topic au njia ya kuchombeza.

Labda mnaweza kunishauri jinsi ya kuondokana na hali hii wanajamii...! Naombeni msaada wenu...!
 
hapa umeleta madudu, waoaji hawakurupuki ki hivyo. wanaangali msingi ,kabla ya paa. wapo taratibu kama hawaoni lakini msichana ambaye upstair kupo swari atawatambua. hizo nyonyo, ******, etc kila mwanke anavyo. kinacho mata ni je binti anasifa za kuwa mke wa mtu?,
Hadi leo unakutana na mwanaume anaona AIBU anapokutana na DEMU au mwanamke
yaani mara anaangalia chini, kushika kichwa, mara ageuke nyuma.....aarrrrrrgghh
m
 
This is why most women fall for jerks. Jerks have a confidence to stand up and talk to any woman. Jerks display all the traits which trigger attraction inside women. And that's why women feel this strong inner desire to be with them. The nice guys finish last because they don't have such confidence.
 
haya ahsante.... nilikuwa siyajui hayo... na klorokwin atanipiga bun vilevile simtaki.... na hash pia sina time nae kama asivyonitaka mara moja mi simtaki mara elfu moja....lol...
Huwezi mpata Michelle kambana sana,sasa Klorokwini nimwambie nini ?
 
haya ahsante.... nilikuwa siyajui hayo... na klorokwin atanipiga bun vilevile simtaki.... na hash pia sina time nae kama asivyonitaka mara moja mi simtaki mara elfu moja....lol...
kama humtaki Klorokwini siwezi kukusaidia mimi napenda kinadada wa kichagga tu.
 
Back
Top Bottom