Mwanaume kuona AIBU mbele ya mwanamke ni UDHAIFU mkubwa, na tabia mbaya

ni mihangaiko tuu swweaty kwa ajili i'm about to get marridge... that's why sina kituo...ishallah kher nitatulia tuu tupeane michapo.... na mi hizi habar za hash ndio nimezipata hapa kutoka kwa uporoto...kwanba keshatoka na michelle.... ok mi nanamuacha na michelle yake sijui ya basmat au kipishori atajijua...
mimi mbona hiyo story hukunipa dear..
mmhh sema nini kulikoni nije kukuliwaza kipenzi.

mmhh nimekumiss wewe..
nini kulikoni dear mbona umepotea hivyo??
 
ni mihangaiko tuu swweaty kwa ajili i'm about to get marridge... that's why sina kituo...ishallah kher nitatulia tuu tupeane michapo.... na mi hizi habar za hash ndio nimezipata hapa kutoka kwa uporoto...kwanba keshatoka na michelle.... ok mi nanamuacha na michelle yake sijui ya basmat au kipishori atajijua...

We umepotelea wapi tena????
 
Mbona sijapata kadi ya mwaliko
 
Laima uwe demu la mbegu eti eheee!!!!!!!

nimecheka duuuh, demu la mbegu au dume la mbegu...!!! Finest bwana, i know u wrote it intentionally, didn't u...? e in place of u, au siku hizi kuna demu wa mbegu...? kaaahh
 
Si unaonana juhudi nazofanya kwa ajili ya mshikaji Klorokwini ? lakini yeye anauma na kupuliza.
hehehe dah! ndio kwanza naona hii sredi, wewe ndio swahiba wa ukweli bana. acha nianze kuhifazi dikshineri la kiarabu, huwez kujua mipango ya mungu.
 
Raha ya mwanaume type hii akikutokea, wakati anazunguka kutengeneza hoja zake, unamtolea jicho hilo... haki ya nani anaweza kutimua mbio kwa kigugumizi....
 
Mwanaume anaeona aibu ni unamtoa nduki tu manaake atakuletea usingizi tu. Hakuna kitu hapo liende jando kwanza likafundwe.
 
ni mihangaiko tuu swweaty kwa ajili i'm about to get marridge... that's why sina kituo...ishallah kher nitatulia tuu tupeane michapo.... na mi hizi habar za hash ndio nimezipata hapa kutoka kwa uporoto...kwanba keshatoka na michelle.... ok mi nanamuacha na michelle yake sijui ya basmat au kipishori atajijua...

oohh sweet heart CONGRATULATION ..
hongeara sana yaaani kwa kumpata mwenza.

mmmhh mie hata ya Hash na Michell na sikia leo dear
mmhh usijali mambo madogo tu hayo..
we huoni mia na TF twa tuangana kila kukicha.hahahah lol
ngoja nimvamie Uporoto anipe story dear..
hata isikupe perssure kabisa ulimsamehe ya kwanza hii ya pili mmhhh
Divorce paper hiyo ndo solution hahahahahah lol..
haya mpenzi weye lala salama ....
 
Back
Top Bottom