Mwanaume kuona AIBU mbele ya mwanamke ni UDHAIFU mkubwa, na tabia mbaya

Si unaonana juhudi nazofanya kwa ajili ya mshikaji Klorokwini ? lakini yeye anauma na kupuliza.

mmmhhh vipi mambo Upororoto wangu??
zakupotezana lol

oohh dear nasikia wajua nini kinaendelea kati ya
Michell na HashC..
haya naomba nipe story lol
 
mara moja namsogelea nipo sooooo smart kwa kila kitu, namwongelesha kwa BIGGEST
EVER confidence, namwabia kapendeza, ana manyonyo mazuri nimezimika kwake,
ana makalio ya kufa mtu naomba walau tuonane tuwe na contact tuonane siku

Mkuu hapo 7 out of 10 times utaambulia matusi na vibao.. if not kibuti.......
 
hehehe nimegain weight ghafla. dah! hizi post nyengine zinakufanya ujiskie kama rais wa canada vile

hahahhahhah lol we unavituko lol

mmhhh mwenzio ningefurahi ka ninge loose weight gafla lol

mmhh mie jana kichwa chaniuma..
nakutafuta weye klorokwin wangu unitibu mmmhhh hupatikani..
nini tena kulikoni???
 
mmmhhh vipi mambo Upororoto wangu??
zakupotezana lol

oohh dear nasikia wajua nini kinaendelea kati ya
Michell na HashC..
haya naomba nipe story lol
Hi,we dada hunitakii mema huoni siku hizi napita mbali TF ananitafuta na bastola alioazima kwa Birigita sikuhizi napiga stori na Lizzy bado najipenda sitaki kufa.Kuhusu hashy/michelle nenda kwenye thread ya Hus page 10-12 kila kitu kiko wazi
 
hahahhahhah lol we unavituko lol

mmhhh mwenzio ningefurahi ka ninge loose weight gafla lol

mmhh mie jana kichwa chaniuma..
nakutafuta weye klorokwin wangu unitibu mmmhhh hupatikani..
nini tena kulikoni???
nimeadimika kweli, hawa wadada siku hizi wanaitumia visivyo bana, wanatumia klorokwini ku abort ma ujauzito badili ya kutibia malaria. acha nimalizie kumloga ze fainest halaf nazani nitakuwa vere comfortable kujibu post zako.
 
Hi,we dada hunitakii mema huoni siku hizi napita mbali TF ananitafuta na bastola alioazima kwa Birigita sikuhizi napiga stori na Lizzy bado najipenda sitaki kufa.Kuhusu hashy/michelle nenda kwenye thread ya Hus page 10-12 kila kitu kiko wazi

ooohhh dear TF hana hasira na wewe dear..
TF anahasira na divorce paper hataki kuzijaza...lol
kwa hiyo wala hata usimkimbie dear..

mmmhhh eehhh Lizzy mzuri najua anakupa mambo moto moto lol
kuhusu Machell na HashC ntafuatilia asante dear.
ndoo maana rwakupenda bure.
mmhhh unatu update kwa matukio mapya..
ya bidi nikufungulie UBC ( Uporoto Broadcasting Company ) lol
hahahahahah lol
 
nimeadimika kweli, hawa wadada siku hizi wanaitumia visivyo bana, wanatumia klorokwini ku abort ma ujauzito badili ya kutibia malaria. acha nimalizie kumloga ze fainest halaf nazani nitakuwa vere comfortable kujibu post zako.

hahahahaahh mmmhhh hii hatari dear..
kila upande wakunyakua..
usitusahau sisi wenza wako wa hapo zamani za kale lol
mmhh hata usihangaike kumloga TF dear..
hizo divorce paper ambazo hataki kuzijaza
zimesha mlogo vya kutosha dear..
hahah lol
 
ooohhh dear TF hana hasira na wewe dear..
TF anahasira na divorce paper hataki kuzijaza...lol
kwa hiyo wala hata usimkimbie dear..

mmmhhh eehhh Lizzy mzuri najua anakupa mambo moto moto lol
kuhusu Machell na HashC ntafuatilia asante dear.
ndoo maana rwakupenda bure.
mmhhh unatu update kwa matukio mapya..
ya bidi nikufungulie UBC ( Uporoto Broadcasting Company ) lol
hahahahahah lol
Si muachane tujue kimoja ? lol! kila akiniona anadai nataka kuvunja ngome yake hajui anaibomoa kwa mikono yake hahaha! Nice talking to you wishing you a nice week ahead.
 
Back
Top Bottom