MalcolM XII
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,239
- 14,214
Tunaelewa joto la dar ni kali lakini jitahidi mwanaume usioge maji ya moto/yaliyopigwa na jua kwa muda mrefu.
Kwa sababu nimeona niwafichulie siri, imetoka ripoti kutoka hospitali fulani kuwa kesi za ugumba kwa wanaume zinazidi kuongezeka siku hadi siku.
Inaeleweka kitaalamu kuwa pumbu (scrotum) zinahifadhi mbegu za kiume (sperm) kwa muda, na ndio maana zimejitenga nje ya mwili kwa sababu sperm ni protein in nature, hivyo zikipata joto kali huharibika.
Unapooga maji ya moto maana yake unaongeza scrotal temperature, na hivyo kujimaliza mwenyewe.
Pia tuepuke na kuvaa nguo za kubana, wakati wa mchana na hata muda wa kulala, tukianza na boxer za ndani mpaka jeans mana nazo zinachangia ongezeko la joto kwenye sehemu zako za siri.
Kawaida ya binadamu mpaka jambo limkute ndipo anapopata funzo.