Mwanaume asiye jua kupika???

inatosha saana compare to mi jikon peke angu we seblen na remote 8 mkononi!!

hahaha, ha, Asante kwa kufichua siri!!, Na je nikija jikoni kukupigisha story tuu, nayo vipi. siguzi mwiko wala kisu.
 
kama kuishi ulaaya lazima ajue kipika ili amsaidie mkewe

kama bongo hg yupo mkewe kazini pia basi aishi kibosi
 
hahaha, ha, Asante kwa kufichua siri!!, Na je nikija jikoni kukupigisha story tuu, nayo vipi. siguzi mwiko wala kisu.

poa2
uwepo wako una thaman sana
ata km mimi nakaanga uku nyuma umenishka bega au kiuno bas freeesh inafanya mchuzi unoge zaid na WALA HAUWEZ KUUNGUZA MBOGA!!
 
poa2
uwepo wako una thaman sana
ata km mimi nakaanga uku nyuma umenishka bega au kiuno bas freeesh inafanya mchuzi unoge zaid na WALA HAUWEZ KUUNGUZA MBOGA!!

Haya kina baba, hamishieni TV jikoni .
 
Nakubaliana na wewe,tunafanana........mi wangu lazima ajue kupika na asiwe busy sana kazini kwakuwa mimi kazi nyingi nikirudi nataka nikute tu mezani...........LOL

kwangu mie ni mzigo sababu sijui kupika na pia mie ni mvivu!:wink2:
 
Nilioa ili nisaidiwe kupika,kufua,kutandika na kunibrudisha!!

Kwa bahati mbaya, ukaoa ukajikuta mwanamama huyo hajui kupika, hajazoea kufuafua sana, walau hapo kwene kutandika na kuburudisha ndo anaweza, utafanya nn???
 
mimi napika kuanzia uji hadi pilau..ugali ndio usiseme ukinipeleka kwenye kachumabri mwe ...utanikoma nirudise kwenye mchicha hehe kitu rost nyama ..lol ! Huyo mwanamke atapata raha sana sema mambo yenyewe yaishie ndani manake dada zangu wakijua wataua mtu.
 
Mie kupika siwezi ila huwa nachoma nyama ya mbuzi safi kwenye microwave na tunakula na familia yangu kwa furaha sana na vinywaji kando
 
namba 6
akipika inanipa raha na nanifanya nimuheshimu zaidi
labda ye anapika ivi mi nafanya usafi chumbani nikimaliza naandaa chakula mezani then kula then seblen kidg kishuke kdg then aooooooooooooooo chumban mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!1

inaleta hamasa na inanifanya nimpende zaidi
hi Rose! nakubali ni kwali wanawake wanapeda sana kupikiwa for sometimes, mimi nimelisoma hilim kutoka kwa demu wangu...yaan siku nikipika atapiga story kwa furaha ile kwa sana.Nikimzozoa kesho kutwa yake napika atanieleza mambo kibao namna nilivyomtatiza hence tunasonga bila vinyongo.
 
Back
Top Bottom