Mwanaume asiye jua kupika???

asiyejua kupika ana raha yake bwana,hata visipoiva anakua hajui,na kwenye chai ukiweka chumvi anajua leo mke wangu amezidisha maujuzi,anachekelea tu.no challenges.
maana wanaojua kupika wanakazi kweli,kitu kidogo tu anaongea.
 
asiyejua kupika ana raha yake bwana,hata visipoiva anakua hajui,na kwenye chai ukiweka chumvi anajua leo mke wangu amezidisha maujuzi,anachekelea tu.no challenges.
Maana wanaojua kupika wanakazi kweli,kitu kidogo tu anaongea.

hapa umechemsha
 
kweli wewe taabu tupu. Sasa naanza rasmi utafiti wa kuhusianisha majina na mawazo ya wenye majina.
1.....
 
mimi napika kuanzia uji hadi pilau..ugali ndio usiseme ukinipeleka kwenye kachumabri mwe ...utanikoma nirudise kwenye mchicha hehe kitu rost nyama ..lol ! Huyo mwanamke atapata raha sana sema mambo yenyewe yaishie ndani manake dada zangu wakijua wataua mtu.
Aaaah hao madada wakatafute wakwao wa kupika nao hahaha lol! Hongera km ni kweli
 
mimi napika kuanzia uji hadi pilau..ugali ndio usiseme ukinipeleka kwenye kachumabri mwe ...utanikoma nirudise kwenye mchicha hehe kitu rost nyama ..lol ! Huyo mwanamke atapata raha sana sema mambo yenyewe yaishie ndani manake dada zangu wakijua wataua mtu.

hongera ivuga.
Napenda mwanaume anaejua kupika.
Mwanaume akipika mama anafua au amekunja nne anasoma gazeti.
 
Statistically all big chefs are men; Jamie Oliver, Gordon Ramsey, Jean Paul Lacombe, mimi (joking) to name just a few....
 
Wanaume wanatengeneza chakula wala hawapiki. Halafu wanaume mara nyingi ndio wanatengeneza chakula cha kwenye shughuli/sherehe maana kinatumia masufuria makubwa, si unajua wadada wanajifanya softi kiasi cha hata kuomba msaada wavunjiwe biskuti.
 
Back
Top Bottom