Mwanaume asiye jua kupika???

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
article-1036921-064153180000044D-515_468x437.jpg
.

1. NI MZIGO??

2. SIYO ESSUE???

3. HAKUNA JIBU SAHIHI??

4. JE KUNA VITU FULANI VIKIPIKWA NA WANNAUME NI BOMBA ZAIDI??

5. JE KUPIKA KWA ZAMU NI INALETA RAHA NAYO KWA WANANDOA??

6. JE KUNA MWANAMKE HAPA MUMEWE HUPIKA HATA KAMA YEYE YUPO???

kwangu mie ni mzigo sababu sijui kupika na pia mie ni mvivu!:wink2:
 
sio ishu ila anafurahisha akijua ina raha yake umekaa hapo mr una kurostia makulaji fulani hata kama ni mara moja kwa mwaka si unajua sie hatuhitaji mambo makubwa sana kutuonyesha upendo wenu kwetu
 
Namba tatu hakuna jibu sahihi lipi lililo sahihi ilijualo wewe !!!

Pili vipi waziwa ya simbilisi ulisha acha???

mmh sjapata bacha ajanipa....
katika ayo aliyoandika HAKUNA JIBU KAMILI..
NIPE OPTION NYINGN NICHAGUE
 
namba 6
akipika inanipa raha na nanifanya nimuheshimu zaidi
labda ye anapika ivi mi nafanya usafi chumbani nikimaliza naandaa chakula mezani then kula then seblen kidg kishuke kdg then aooooooooooooooo chumban mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!1

inaleta hamasa na inanifanya nimpende zaidi
 
Njoo kwangu nikupikie ugali 24/7
 
namba 6
akipika inanipa raha na nanifanya nimuheshimu zaidi
labda ye anapika ivi mi nafanya usafi chumbani nikimaliza naandaa chakula mezani then kula then seblen kidg kishuke kdg then aooooooooooooooo chumban mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!1

inaleta hamasa na inanifanya nimpende zaidi

Sasa mnacho taka ni tuonyeshe ushirikiano au kweli tuingie jikoni kwa kumaananisha??. Hata hivyo naamini ni ile kampani ndiyo inayo matter zaidi. basi kama ni hivyo kila siku nitakata kitungu changu, kesho nyanya, mtondogo, nasogeza mwiko si inatosha my headgirl??
 
inatosha saana compare to mi jikon peke angu we seblen na remote 8 mkononi!!
 
Hapo ndio ninapokupendea na tutakaa mbali na mjini ili uache mchezo wako wa kuondoka na bajaji saa 7 usiku.

hahhahhaaaaa hahahha sawa mpz
lakin kumbuka ata kijijin ntaweza toka saa 7 usiku NTATUMIA FISI...au ata punda!!!
 
Back
Top Bottom