Mwanasheria wa Halmashauri ya Korogwe ana 'Digrii ya chupi' - DC Mrisho Gambo

Status
Not open for further replies.
Mkuu wa wilaya korogwe ndugu Mrisho Gambo amemwambia mwanasheria wa wilaya hii kuwa ana degree ya
chupi kufuatia majibu ya mwanasheria huyo dhidi ya kesi kati ya wafanyabiashara na halmashaur.
Mwanasheria huyo alishindwa kutoa maelezo ya kina juu ya sakata hilo ndipo dc akaamua amchane ......, source: mwananchi


Hii kitu aliisema kwa mafumbo au live? Kama live hakuna haja nyingine ya kudhihirisha kuwa yeye ni CCM damu damu. Na huyo mwanasheria akinyamaza itakuwa ya chupi kweli!

Sarakasi za CCM bana.
 
Mrisho Gambo ameonyesha true color ya ccm... Lkn ameshema ukweli, hata huyo prince riz nae huo u-advocate wake si niwa chupi...
 
Yawezekana alisoma nae na aliona alivyokuwa akigawa uloda kwa malecturer, UDSM mbona ndo mchezo? maana personally nawajua madada walokuwa wakija na maswali tnayasolve na next day yanaappear kt exam, atatoa ushaid na mtashika midomo kwa aibu

Hakika huu ni ukweli mchungu!

Hata hivyo huyu Mrisho Gambo-DC wa Korogwe anaonekana siyo mstaarabu na hana adabu! Kiongozi unatakiwa kuwa mwungwana na mwenye staha. Hapa amechemka kwa kuropoka! Hili ni tatizo la ma-DC na ma-RC wote. Huwa wanajiona wako juu ya sheria simply because ni wateule wa Rais. Ndo maana tunataka kwenye Katiba mpya lazima hivi vyeo vitupiliwe mbali maana havina tija kwa Taifa letu.

Kwa ushauri wangu naomba huyo Mwanasheria achukue hatua za kisheria dhidi ya DC kwa udhalilishaji. Yeye kama mwanasheria by profession lazima amthiitishie huyo DC kuwa anajua sheria na hakupata Degree ya chupi hata kama ni kweli. Nina uhakika hata kama DC anajua ukweli huo HATAWEZA KULETA USHAHIDI HUO MAHAKAMANI. Kwa maana hiyo itakula kwake na mwisho wa siku lazima alipe faini ya udhalilishaji. Ole wake DC hiyo kesi isimamiwe na Hakimu mwanamke mbona atajuta!!!
 
Kwa hiyo na wewe una degree ya chup*i maana hayo maswali yenu ya chupi* ndio yamekufaulisha. Shukuru Mungu unafanya kazi serikalini sekta binafsi hatutaki watu kama nyie wenye digrii za chup*i
Na yeye Mrisho Gambo huenda ukuu wa wilaya wake ni wa chup* maana alipewa tu kama zawadi tutajuaje kama na yeye hakuvua kupata uDC. Kwanza kiongozi mwenye busara hawezi kutoa kauli kama hii lazima atakuwa ameokotezwa huko na kupewa nafasi. Hii nchi aibu kIla sehemu, yote haya chanzo ni UDHAIFU wa rais Kikwete kuweka jamaa zake kwenye nafasi muhimu

mkuu ebu chukua like...

:)

:)
 
Hata kama ana ushahidi, angetoa taarifa kwa vyombo husika ili wamchukulie hatua badala ya kubwatuka hadharani vile. Ndio matatizo ya kugawana nafasi za uongozi bila kujali competence ya mtu
 
Huyu DC anatakiwa ashitakiwe maana amemdhalilisha sana huyu mwanasheria hata kama alikosea jhawezi mwambia neno kama hili
 
sipati picha kama haya maneno angekuwa yametamkwa na Nassary au Mnyika basi leo pro-ccm wangekesha humu.

paiful truth,

kuna vijana kwenye nafasi za utendaji ni wadogo na wazuri sana tu, na pia kuna vijana wabaya na hawafai hata kupewa kazi za kusoma namba za magari... IT IS ABOUT THE PROCESS OF GETTING THEM ONBOARD

CCM wana akina Mpoki Mwambulukutu, Kippi Warioba who would have made it to the highest rank... guess what, wanawaona threat; same for CHADEMA, inawezekana kabisa kuna potentials bado zinahangaishwa kupanda kwenye ranks.... you can equate nasary au Mnyika kwani wao ni sawa na kijana kama filikunjombe...
 
Dc Gambo, no comment ; tumsubili mahakamani

GAMBO.jpg
 
Huyu DC anatakiwa ashitakiwe maana amemdhalilisha sana huyu mwanasheria hata kama alikosea jhawezi mwambia neno kama hili

Mimi Sio Mwanasheria ila Kama Hilo suala Mwanasheria alikuwa analishughulikia ni dhairi lilikuwa Mahakamani na kwa Kawaida suala likiwa mahakamani Huwezi kubwabwaja kama DC alivyotaka kwenye Mkutano wa Hadhara!! DC hana maadili ya Taalumu yoyote labda ni design ya wale walioandika barua ya Sensa!!

Tunaomaba CV YAKE MWENYE NAYO JAMANI!!
 
Wapo wengi wenye digree za chupi kama S. Simba, Ghasia nk

Si Degree tu ila pasi na shaka na vyeo vyao pia, kwa kundi hili wapo wengi sana zaidi ya s.simba, ghasia, c.magige, v.kamata, etc
 
hiyo chupi alimvua yeye? Ni ukosefu wa adabu......

Muwajibishe mtu lakini si kwa kimtukana....

Hovyooooo
 
Pia kwa uelewa wangu wa Kawaida naona hii personal attack huyu DC alikuwa anamtaka Kimahaba sasa ametolewa Nje!!
 
Wanajamvi, inamaana utitiri wa wakurugenzi wa wilaya ambao ni akina uteuzi wao una mashaka? Tuamini watu wanapewa nafasi muhimu kutokana na weledi wao na si ku......vu...uuuuuuaaaaaa chu..........piiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
mkuu wa wilaya korogwe ndugu mrisho gambo amemwambia mwanasheria wa wilaya hii kuwa ana degree ya
chupi kufuatia majibu ya mwanasheria huyo dhidi ya kesi kati ya wafanyabiashara na halmashaur.
Mwanasheria huyo alishindwa kutoa maelezo ya kina juu ya sakata hilo ndipo dc akaamua amchane ......, source: Mwananchi

ukistajabu ya lusinde utayaona ya gambo.hii ndio ccm,ila waziri mkuu alimjibu wenje bunge madc na marc wanasimamia sera ya chama.sasa kama ilani pia mitusi hadharani bhaaaaasi..
 
Mkuu wa wilaya ya korogwe bwana mrisho gambo amemnanga mwanasheria wa wilaya ya korogwe
kuwa ana degree ya chupi. Kauli hii ilitolewa kwenye mkutano ambapo mwanasheria huyo alitakiwa
kutoa maelezo ya kesi inavyoendelea kati ya wafanyabiashara wa maduka na halmashaur hiyo.

Kaazi kwelikweli :yawn: .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom