Mwanasheria wa Halmashauri ya Korogwe ana 'Digrii ya chupi' - DC Mrisho Gambo

Status
Not open for further replies.
Mkuu wa wilaya korogwe ndugu Mrisho Gambo amemwambia mwanasheria wa wilaya hii kuwa ana degree ya
chupi kufuatia majibu ya mwanasheria huyo dhidi ya kesi kati ya wafanyabiashara na halmashaur.
Mwanasheria huyo alishindwa kutoa maelezo ya kina juu ya sakata hilo ndipo dc akaamua amchane ......, source: mwananchi

Angetoaje Maelezo wakati Kesi Ilikuwa Mahakamani? Nadhan Huyu Mwanasheria she was so Smart!! Labda Huyu DC ndio mwenye Degree ya Kaptula!! Au alikuwa anamtaka kimapenzi!! Hili ni shambulio la aibu!!
 
Juzi juzi nilisoma kuwa DC mmoja kalia kutokana na madudu yanayofanywa na halmashauri fulani, sawa inaonesha DC huyu ana uchungu wa maendeleo, hata hivyo mtu kama DC enzi zetu tulikuwa tuna waita ma area commisioner kulia ni jambo la aibu.Haitoshi DC mwingine ana mdharirisha mwana taaluma ya sheria na kumwambia kuwa ana digrii ya chupi, yaani chupi? mtu akae darasani kwa miaka minne akisomea chupi? Hili ni tusi kubwa mno na halivumiliki, mbali ya kumvunjia heshima mwana sheria huyo pia ameidharirisha taaluma ya sheria. Mtu kama huyo anastahili kufukuzwa kazi, tukimuacha ana weza kujenga jamii yenye lugha za matusi.AFUKUZWE!Jamani cheo cha u DC kifutwe
 
Hata kama mtu ana degree ya chupi huwezi kumzalilisha vile ni kosa kubwa itashangaza kama bado ni dc hadi sasa, zipo njia nyingi za kumuachisha kazi au kuchunguza shule yake, hivi mume wa huyo mwanasheria akimwacha kwa reference ya dc itakuwaje? Wapi ataitwa ktk interview kwa kuhofia uwezo wake? Dc ameshindwa kuangalia side effect? Hata kama ni ccm mwenzetu kapotea na anasaidia kuitoa ccm madarakani, ccm isitafute mchawi viongozi wanashiriki kuwapa ushindi wapinzani.
 
hata kama mtu ana degree ya chupi huwezi kumzalilisha vile ni kosa kubwa itashangaza kama bado ni dc hadi sasa, zipo njia nyingi za kumuachisha kazi au kuchunguza shule yake, hivi mume wa huyo mwanasheria akimwacha kwa reference ya dc itakuwaje? Wapi ataitwa ktk interview kwa kuhofia uwezo wake? Dc ameshindwa kuangalia side effect? Hata kama ni ccm mwenzetu kapotea na anasaidia kuitoa ccm madarakani, ccm isitafute mchawi viongozi wanashiriki kuwapa ushindi wapinzani.

jamani mrisho gambo hakustahili kabisa kuwa dc, hata kidogo ninamfahamu vizuri. Kwa aliyoyafanya yatamgharimu rafiki yake aliyekuwa anampigia debe kwa rais....catherine magige (mbunge wa viti maalum ccm). Gambo amesahau maisha ya tabu kule arusha na kila siku anamsumbua cathy ampe hela ya kula. Kashindwa mara ngapi kulipa bili ya kahawa pale hotelini new arusha na mount meru na kulipiwa na wahudumu? Kile kigari chake (corrola limited) cha dark green alikipaki pembeni ya njia kwa siku mbili mfululizo.jamani ni mwaka 2011 mwishoni na mwanzoni mwa mwaka 2012, sio mambo ya miaka 5 iliyopita.nilimkopesha 50,000 na wala hajawahi kunirudishia hadi amekuwa dc.

Sasa kwa nini amuaibishe mwanasheria? Alitaka huyu "mama" aseme nini na kesi iko mahakamani?...kweli hili ni shambulio la aibu....!!huyu ni mtu mzima na ni mke wa mtu mwenye watoto na anaheshimika. Sasa kusema eti ana degree ya chupi ni sawa na kumwambia mume wake kuwe yeye (dc), anaufahamu undani na utupu wa huyu mama..

Shame on ccm, shame on magige cathy, shame on kikwete, shame on..........shame on.........mrisho gambo.
 
Angetoaje Maelezo wakati Kesi Ilikuwa Mahakamani? Nadhan Huyu Mwanasheria she was so Smart!! Labda Huyu DC ndio mwenye Degree ya Kaptula!! Au alikuwa anamtaka kimapenzi!! Hili ni shambulio la aibu!!

Ndugu kama hatafukuzwa kazi "mara moja" kwa manufaa ya umma, umma utamtoa na hatakaa ainuke tena.
 
Hata kama mtu ana degree ya chupi huwezi kumzalilisha vile ni kosa kubwa itashangaza kama bado ni dc hadi sasa, zipo njia nyingi za kumuachisha kazi au kuchunguza shule yake, hivi mume wa huyo mwanasheria akimwacha kwa reference ya dc itakuwaje? Wapi ataitwa ktk interview kwa kuhofia uwezo wake? Dc ameshindwa kuangalia side effect? Hata kama ni ccm mwenzetu kapotea na anasaidia kuitoa ccm madarakani, ccm isitafute mchawi viongozi wanashiriki kuwapa ushindi wapinzani.

Kuna DC alichapa walimu Viboko akafukuzwa Mara Moja!! Sasa Huyu wa Shambulio la Aibu Mbona anapeta? Pia Ijulikane sio Shambulio kwa Mwanasheria wa Korogwe bali ni shambulio kwa Tasnia Yote ya sheria!! Chama cha kutetea Haki za wanasheria wanawake Kinasubiri nini Kutoa Tamko? Pia Tunamwomba afafanue Degree za Mavazi ya Ndani Zikoje?
 
jamani mrisho gambo hakustahili kabisa kuwa dc, hata kidogo ninamfahamu vizuri. Kwa aliyoyafanya yatamgharimu rafiki yake aliyekuwa anampigia debe kwa rais....catherine magige (mbunge wa viti maalum ccm). Gambo amesahau maisha ya tabu kule arusha na kila siku anamsumbua cathy ampe hela ya kula. Kashindwa mara ngapi kulipa bili ya kahawa pale hotelini new arusha na mount meru na kulipiwa na wahudumu? Kile kigari chake (corrola limited) cha dark green alikipaki pembeni ya njia kwa siku mbili mfululizo.jamani ni mwaka 2011 mwishoni na mwanzoni mwa mwaka 2012, sio mambo ya miaka 5 iliyopita.nilimkopesha 50,000 na wala hajawahi kunirudishia hadi amekuwa dc.

Sasa kwa nini amuaibishe mwanasheria? Alitaka huyu "mama" aseme nini na kesi iko mahakamani?...kweli hili ni shambulio la aibu....!!huyu ni mtu mzima na ni mke wa mtu mwenye watoto na anaheshimika. Sasa kusema eti ana degree ya chupi ni sawa na kumwambia mume wake kuwe yeye (dc), anaufahamu undani na utupu wa huyu mama..

Shame on ccm, shame on magige cathy, shame on kikwete, shame on..........shame on.........mrisho gambo.

Huyu Catherine Magige Ndio alitoa 50,000/- kwa umoja wa Vijana Magamba (Kila mmoja) na kuita Lunch? Naona Hata Hili linafaa kufufuliwa na kujadiliwa!!
 
Sijui kama unaelewa hoja inayojadiliwa hapa! Kama unataka tujadili degree za chupi anzisha uzi wako.

unataka tujadili hoja unavyotaka wewe???sio lazima iianzishwe nyingine!!!ndio ushabiki huo tunaousema kwa sababu kama kweli ana degree ya chupi kwa nini tumhoji huyo dc.atakuwa ametusaidia kujua hilo..
 
mtu akae darasani kwa miaka minne akisomea chupi?

Sio kasomea chupi miaka minne bali kavua chupi miaka minne kwa wanafunzi, malekcha, ma tutorio asistanti na walinzi wa chuo ili tu amalize digrii yake. Habari ndio hiyo!
 
Hiyo degree inasomewa wapi? Wanaume nao wanasomea degree hiyo au ni wanawake peke yao?, Na kama anayo hiyo degree ya chupi tatizo liko wapi? as long intambulika.........Gambo M, huyo akiwa na degree ya chupi na wewe una degree ya.................TAMWA, nafasi nyingine ya kazi hiyoo!!!!!!!
 
Jamani msiongee tu bila kuuliza upande wa pili wa shilingi !!!! Je mnajua huyo mwanasheria kafanya nini au katoa maelezo gani mpaka kuambiwa hivyo???? Au mnataka achekewe tu ata kama kaboronga maadam linasongeshwa !!! Achani hizo muwe mna hoji sio kukulupuka tu.................... Hii nchi kunawatu wanasema bora mimi nipate kuliuko serikali sasa kama issue iko hivyo unategemea dc atakwambia je wewe mwana sheria....
 
Huyu ndo amekuwa mkuu wa mkoa?
Kutumia maneno kama hayo kwa wadhifa wa mkuu wa wilaya, ulikuwa ushahidi tosha kwamba uongozi hauwezi. Ukiwa kiongozi, uwezo wa kuchagua lugha ni sifa kubwa sana! Nini muelekeo wa mkoa wa Arusha? Ni tatizo linalojijenga polepole!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom