Mwanasheria wa Halmashauri ya Korogwe ana 'Digrii ya chupi' - DC Mrisho Gambo

Status
Not open for further replies.
Asalaleee!
kumbe kuna degree za chupi?
hizi zitakuwa zinatolewa na chuo cha wamagamba
 
Kwa hiyo na wewe una degree ya chup*i maana hayo maswali yenu ya chupi* ndio yamekufaulisha. Shukuru Mungu unafanya kazi serikalini sekta binafsi hatutaki watu kama nyie wenye digrii za chup*i
Na yeye Mrisho Gambo huenda ukuu wa wilaya wake ni wa chup* maana alipewa tu kama zawadi tutajuaje kama na yeye hakuvua kupata uDC. Kwanza kiongozi mwenye busara hawezi kutoa kauli kama hii lazima atakuwa ameokotezwa huko na kupewa nafasi. Hii nchi aibu kIla sehemu, yote haya chanzo ni UDHAIFU wa rais Kikwete kuweka jamaa zake kwenye nafasi muhimu

safi mkuu,km nae aliyasovu hvo yalmsaidia nae ni walewale.
 
Hii kesi rahisi sana kushinda. Kan kuwa na degree ya "chupping" ya kupiga nyumba lipu kuna tatizo? Mi ningejitetea kuwa amenisikia vibaya.
 
Kuna ombwe la hekima na busara katika vichwa vya watu waotutawala.Sio bure!
Hivi kuweza kujua kipi cha kuongea, kwa namna gani,mahali gani, kwa nini na kwa matokeo gani kunahitaji ''Semina Elekezi'' ama kuyaelewa maudhui ya kitabu cha Azimio la Arushwa kuhusu ''Maadili ya Uongozi''?
Kwa nini nchi hii haiachi kuzalisha walevi waliokubuhu wa madaraka?
Ufahamu kidogo tu juu ya dhana ya ''utawala wa sheria'' na ''utawala bora'' ungemwelekeza Ndugu DC,ikiwa kweli ana madai ya msingi, kwenda mahakamani na/au katika vyombo vya Kitaaluma kuhoji Elimu ya mhusika na yeye angeisaidia mahakama kuthibisha madai yake hayo.(Ingawa ni wazi angepata tabu sana kuweka ushahidi usioacha shaka).
Pole sana dada Mwanasheria!Hatupendi kabisa unyanyasaji.
 
tatizo sio ubora wa vijana bali tunavyowapata. watu wanatafuta wale waramba miguu. matokeo yake ndio haya
 
Vijana wakipewa uongozi huwa wanatuangusha sana, that why nampinga Zitto na Movement yake, kuwa vijana tunaweza. ona aibu hii ya Gambo! hapo ni u-DC tu.

Zitto sijui umemuingizaje hapo cdm sio chama cha kuleta ubaguzi wako wa rika,dini au we vp?
 
Acheni utani jamani, haiingii akilini kwamba mwakilishi wa Rais aliyeteuliwa from no where ghafla aje amdhalilishe mtendaji aliyeajiriwa kwa taaluma yake kirahirahisi hivyo. Huyo mwanasheria anadai fidia ndogo sana, eti mil tisini, alitakiwa adai hela ya kutosha na jamaa atakiwe kuthibitisha kauli yake hadharani. Haiwezekani kabisa Kiongozi wa umma kutoa maneno kama hayo. Hii ni wazi kauli hii ingetolewa jalalani na si ofisi ya umma. Shame on u Dc na wewe bibie usiogope kitu, mshikishe adabu huyo ni muhuni tu coz a public figure can never bhave that way.
 
Hawa ndio vijana makini ndani ya CCM.

MUNGU WANGU WA ISRAEL KISAIDIE CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
Hata yeye ni mtu wa mtu

gambo.JPG
 
tatizo sio ubora wa vijana bali tunavyowapata. watu wanatafuta wale waramba miguu. matokeo yake ndio haya

sipati picha kama haya maneno angekuwa yametamkwa na Nassary au Mnyika basi leo pro-ccm wangekesha humu.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom