masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
Katika sintofahamu ya wanasheria wa AG Chambers ya serikali ya Muungano kushindwa kujibu bayana mapigo ya chama ch upinzani CHADEMA kupitia mwanashria wake na Waziri kivuli wa kambi ya upinzani, Ndg Tundu Lissu,hatimaye majibu yameanza kujitokeza,ingawje si rasmi.
Pamoja na kutokuwa kamilifu , majibu hayo yamejitokeza kwa njia ya kulalama ndani ya Baraza la Wawakilishi, Zanzibar.
Mimi binafsi sikubaliani na jinsi ya mlolongo wa suala lenyewe la mabadiliko ya katiba ya Zanzibar lisivyopata maelezo yanayokidhi katika Bunge letu la Jamhuri ya Muungano.
Kwamba majibu haya ya third party,tena kwa njia ya kulalama,ni precedence ya suboordination kwa masuala yanayohitaji maelelezo muhimu kwa waTanzania.
Katika gazeti la Mwananchi Jumapili Julai 8 2012,u.k. wa3, nanukuu:
"Mwanasheria Mkuu Z'bar amshukia Tundu Lissu
Na Salma Said , Zanzibar,
Mwanaseheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amemshukia Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa kueleza kuwa hafahamu madhumuni na malengo ya mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar yaliyo leta Serikali ya Umoja wa Kitaifa."
Sasa kwa sisi ma-laymen wa masuala haya, kama wabunge wa Bunge la Muungano hawafahamu masuala haya ya mabadiliko ya katiba huko Zanzibar, nani anayepaswa kuyafahamu?
Na yanaleta hitilafu au athari gani katika utawala wa nchi?