3D.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2010
- 1,018
- 282
Hakuna cha research wala nini. Hii ni hofu tu ya wanaume. Mwanamke akimfumania mwanaume yeye mwanamke huumia kwa kudanganywa. Mki-solve ishu anakusamehe na yanaisha. Mwanamme akifumania atadanganya na kujidanganya mwenyewe kuwa kasamehe lakini chinichini huendelea kujiuliza, "Hivi hili jamaa limenizidi nini hadi mke wangu alikubali? Hivi lilifanya naye kweli? Yaani likamlalia kabisa?" Wavulana ni watu wenye hofu sana.
Angalia hata posts zinazowekwa na wanaume hapa JF kuhusu mapenzi, nyingi zinazungumzia wivu au dominance ambayo wanaume wanataka kuwa nayo kwa wasichana. Posts kama, "Mwanamke hamsahau mvulana wake wa kwanza" etc. Huu ni mwendelezo tu wa hofu za wanaume. Baadhi ya wanaume hujiondoa katika kupenda na kusema, "Mwanamke si mtu wa kumwamini, hata biblia imeandika" wakati hao hao wanaowalaumu wanawake wao si waaminifu. Msichana anaweza akakutana na girlfriend wa zamani wa mume wake na wakapiga stori lakini mwanaume hawezi akakutana na boyfriend wa zamani wa mkewe na akapiga stori kwa moyo mmoja.
Hivi wanawake haya mambo ya udhaifu wa wanaume hamyajui? Hamchoshwi na posts za kila mara zikitaja maneno dhidi yenu kama:

- Kumega
- Chapa ilale
- Gonga
- Piga etc