Mwanamke yeyote akikupa mara moja, hata akiolewa ukimwomba tena atakupa tu

Huu ni uongo wa hali ya juu. Katika kila kundi la watu wapo walioshindikana wenye hisia zilizopitiliza na mapoyoyo wasiofikiri wala kujiheshimu. Lakini kusema kwamba huo ndio utaratibu wa kina dada na kina mama tulioolewa, sio kweli. Ni uongo mtupu, ama kama ni hadisi tu sasa mnaleta kipitisha siku ziende mwaka uishe. Msitupake tabia mbovu kwa sababu ya mapoyoyo mliyokutana nayo. Hata embe, parachichi n.k katika kapu moja utakuta moja limeoza ama lina madoa madoa haliko sawa haimaanishi ni kapu lote ati Alaaa!!!
 
Truly correct. Kuna mwana JF moja aliwahi kusema Mtalaka hatongozwi! Niliipenda hiyo philosophy maana ukweli ni kuwa mkikutana mtakumbuka zaidi good times na kupenda kulianzisha. Yes, linaanzishwa bila zengwe!
 
Hivi mbona mnatuonea sna wanawake jamani!! Mwanamke anaeheshimu ndoa yake na mumewe sidhani kama anaweza kufanya kitendo kama hicho kwenda kuchakachuliwa na dume lingine...
Kma kuna mwana JF na umefanyiwa hivyo na mkeo bas jua wewe sio RIJALI!!:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
..Maria
Siyo dume lingine ,n lilelile la zamani....
 
Hivi mbona mnatuonea sna wanawake jamani!! Mwanamke anaeheshimu ndoa yake na mumewe sidhani kama anaweza kufanya kitendo kama hicho kwenda kuchakachuliwa na dume lingine...
Kma kuna mwana JF na umefanyiwa hivyo na mkeo bas jua wewe sio RIJALI!!:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:

MR usibishe bana, yanayosemwa yana ukweli kwa kiasi kikubwa!
 
Kiporo cha ubwabwa Maharage ukipate na chai usifanye mchezo nani anabisha!!!!
Kama mlitengana kwa ugomvi itakuwa ngumu kidogo kupata ila kama ilikuwa kwa amani mbona inakuwa poa tu.
 
Hakuna kitu kama hicho itakuwa sio kwa wanawake wote.wanaume uliozungumza nao na wakakupa data hizo basi walikutana na maharage ya mbeya.mimi binafsi na wanawake wengine hatuwezi kurudia matapishi iwe kwa wema tuliachana au jiografia ilitutenganisha.nikishafungua ukurasa kwa mtu mwingine sitaki kurudi page ya nyuma natafuta nini kwanza?basi nikusoma kwenda mbele,hata mawasilianao nae kwanza napoteza asijeniganda bure kujua bado nampenda au kuamini theory kama yako hiyo akaniganda.
 
Hivi huu ubishi na ligi zisizo na maana zinatoka wapi au lazima tu mtu ajue kwamba hamko hivyo? Wakati ndiyo ukweli halisi na hii siyo kwamba ni kwa wanawake tu hata wanaume pia lakini kwa sababu tunapenda mashindano yasiyo na maana tuendeleza mashindano hatusemi hivi ili tuyarudie mahusiano ya zamani ila ni tahadhari mtu unapaswa kuchukua kwamba ni muhimu kutokutoa nafasi ya aina yoyote kwa mwenzi wako wa zamani maana wengi huwa hawaoni kama ni shida kukumbushiana au kurudiana kabisa na kusababbisha wengine kufa na ukimwi.
 
You are absolutely right, wanapenda ligi zisizo za msingi... Ukweli unabaki kuwa ukweli tu..
 
Hivi mbona mnatuonea sna wanawake jamani!! Mwanamke anaeheshimu ndoa yake na mumewe sidhani kama anaweza kufanya kitendo kama hicho kwenda kuchakachuliwa na dume lingine...
Kma kuna mwana JF na umefanyiwa hivyo na mkeo bas jua wewe sio RIJALI!!:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
MR umeamua kutupa dongo upande mwingine !!!
 
Pamoja na maoni yote, naomba mnisikilize hoja yangu. Kwanza ni kweli kabisa wapo wanawake wanaotoka nje kwa style ya x-lovers lakin sijajua ni percent ngapi. Na hii inatokana na aina za ndoa zilizopo sasa, ambazo 90% yake ni wahusika kutokuwa na upendo wa dhat baina yao. Mfano ::: Wapo baadhi ya wanawake wanakubali kuolewa na wanaume waliokaa vizuri kiuchumi au ma-handsome. Sasa utakuta amekubali kuachana na mwanaume ambaye alikuwa hana hizo sifa, ila alikuwa anamridhisha sana kimapenzi. Sasa kama mumewe hamridhishi kimapenzi, na anahamu ya kuridhishwa anaweza kushawishika.
Pili, mwanamke humpenda saaana mwanaume aliyeanza nae mapenzi kwa mara ya kwanza, bila kujali ana hali gani kiuchumi. Sasa kama mzazi atamtafutia binti yake mchumba, kwa vigezo kwamba atamtunza vizuri binti yake kwa kuwa ni mwanaume mwenye uwezo kiuchumi, na huku binti ameridhika na mpenzi wake wa kwanza, na binti akamkubali mwenye uwezo kwa sababu ya pesa tu basi ujue bado kuna uwezekano akarudi kufanya mapenz na wa kwanza.
Kwa kumalizia ni kwamba, si kila mwanamke hukubali kutoka nje ya ndoa, wengine hujizoeza kuzoea hali ya mumewe ilivyo mpaka anazoea, hata kama mume hamridhishi anavyotaka. Wanawake wengine hawahitaji madoido ya hapa na pale ktk mapenzi ili aridhike, utakuta wao ile kuingiza tu na kusugua hata kwa dk 1 tu, anatosheka. Haitaji mbwembwe nyiiingi. So wanatofautiana. Ni hayo tu
 
Aaahh... nilifuatilia hili hadi nimepata almost 75% wanasema kama ukishakuwa na uhusiano
na mwanamke kabla ya kuolewa/ akiwa ndani ya ndoa yaani mmekuwa mnamegana, na kuachana kwa sababu nzuri tu, labda kaolewa kahamia mbali, au kahamishwa kazi then akaja olewa au ulishalala na mwana mke mara moja na hamjagombana siku yeyote ukimwomba hawezi kukunyima, so wanaume watalaam wa mapenzi ni vigumu kugombana na wanawake wanajua siku moja wataonana na kupewa as usual, awe ameolewa au single ili mradi upate SIKU MOJA then siku zijazo hakuna kutongoza , just make a call na
kupanga time utapewa, kumbe ni kale ka aibu ka mwanzo tu, aiseeeeeeeee, mm nimeshanoa panga ole.

Usisahau "Hawara hana TALAKA"
 
Nasikia ukimkuta kaolea au ana BF mwingine na alikuwa kipenzi chako miaka kadha imepita
ww mwambie eehhhh kaaaahhh umependeza huyo jamaa kakupa nini? utaona kafurahi then unaanza sasa then direct, plse nimekumiss yaani basi tu, mara unajua mzee/ BF mkali,
then unamwambia ebu chukua hii fedha kidogo ya matumizi kesho nipigie tukutane wapi? ndio tayari hivyo

Sikubaliani KABISA na ww mkuu. kwanza kama mliachana kwa usalama ina maana uliona hakufai tena kama mwanaume. most of the times an ex is seen as an ennemy/ or a friend we are a bit ashamed of, nikwambie tu ukweli. Coz kila tukiachana na mtu na kupendana na mngine, huyo mpya atakua ni better kuliko wa zamani. na kama tukiamua kufunga pingu la maisha basi huyo huwa ni bora kuliko wengine wote. Ex akisema umependeza kweli inafurahisha but pia inside unasema "ananipa ulicho shindwa kunipa wewe". Ao vipi sisters wa JF?
 
Aaahh... nilifuatilia hili hadi nimepata almost 75% wanasema kama ukishakuwa na uhusiano
na mwanamke kabla ya kuolewa/ akiwa ndani ya ndoa yaani mmekuwa mnamegana, na kuachana kwa sababu nzuri tu, labda kaolewa kahamia mbali, au kahamishwa kazi then akaja olewa au ulishalala na mwana mke mara moja na hamjagombana siku yeyote ukimwomba hawezi kukunyima, so wanaume watalaam wa mapenzi ni vigumu kugombana na wanawake wanajua siku moja wataonana na kupewa as usual, awe ameolewa au single ili mradi upate SIKU MOJA then siku zijazo hakuna kutongoza , just make a call na
kupanga time utapewa, kumbe ni kale ka aibu ka mwanzo tu, aiseeeeeeeee, mm nimeshanoa panga ole.

sidhani kama research yako ni ya kweli mheshimiwa kwa hizo asilimia ulizoweka hapo
Ukifunga ukurasa katika maisha sioni haja ya kuufungua tena
 
Hizi ni notion za kipumbavu ,watu mmezidi kuwaonea dada zetu, last week mlisema kuwa eti mwanamke hamsahau aliemtoa bikra, wenyewe humu waliprove kuwa si kweli leo upuuzi mwingine, na watu mnachangia upuuzi , basi mama zetu, dada zetu wake zetu mademu zetu ni malaya kwa mitazamo hii, acheni habari za vijiweni kutuletea magreat thinkers.
Hivi nyinyi wanaume wenzangu hizo stiki zenu zina dhahabu au zinatema pesa hadi msisahaulike,japo hata kama yanatokea mimi naamini wote yanatukuta, awe mwanamke au mwanaume, kama mlikatishwa mapenzi yenu kwa uchungu mkubwa possibilkity ya kuyarejea ni kubwa coz love dies with the owners of it only-provided ur both alive kila mkutanapo mapenzi yatachipuka inakuwa kama kiu inayohitaji maji kukatika, ila sio mmegane tu one night stand halafu usisahaulike................... CRAP.......................CRAP..................................CRAP
 
Ni uongo mtupu! Gumzo la kufungia mwaka tu.:plane:

Sikia bana, najua ni ngumu kukubali ukweli as usual, ila hata mm hapa nikichukua tu simu yangu na kumpigia aliyekuwa kipenzi changu sasa hivi na anajua nina hali nzuri kimaisha, mwenyewe ananipa ratiba ya mechi ya marudio ya kirafiki, tena wengine wanasema hata mwanaume aliyenaye ni hovyo na kumkashifu, ooohhh ningeolewa na ww tu dear basi mungu hakupanga nk ndio maneneo hayo, na ukicheck comments hapa wanawake wote mnapinga, ila usiusemee moyo kama una BF/ au mumeo watch out deep his X-lovers, utakuja nieleza hapa, trust me
 
Jamani madada wenzangu tuwe tu wakweli, ukishaliwa mara moja na mtu kama hamjagombana na mkakutana katika anga nzuri lazima ulambwe.
There are three factors ambazo zinaweza fanya mwanamke aliwe regardless of her status.

1. Moddy - Do you feel doing so?
2. Time - Does the time allow? That you can do it bila mtu wa tatu kuona?
3. Enviroment - Are the enviroment cundusive?
 
u r true from u r heart, ndio maana nasema tulindane bana, watch out
 
una uhakika wewe?
au demu wako alivyodinywa na x wake bas ndo mademu woooooooooooote watadnywa na ma x wao?
izi topic za kudhalilisha akiyamungu bas tu....

Punguza hasira basi mama, asi unakumbuka mimi na wewe hatukuachana kwa ubaya hivyo tukikutana tena naona mambo yatakuwa mazuri tu.
 
Dah hiyo mkuu research yako iko hai kabisa kabisa, mfamo mimi mkuu nilikuwa na mademu kama watatu na wote sahizi wameshaolewa na wananyumba zao wote hao tuliachana kwa amani tu kutokana na umbali lakini leo nagonga hao wote bila shida ,muda wowote ninao taka ingawa lazima asema sikuhizi jamani mimi nina mume sitaki hayo mambo lakini mwisho wa siku mzigo unakula kiiulaniiiii bila shida. Research yake inaukweli tenamkubwa sana.

Cha msingi wanawake tulieeni na ndoa zenu jamaniii eeeehhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom