Mwanamke yeyote akikupa mara moja, hata akiolewa ukimwomba tena atakupa tu

ni kwa gender zote bana, but kumbuka mwenye control kubwa ya haya maswala ya mapenzi ni mwanaume, kama mwanume akitakwa na X wake anaweza kusema no na ikawa no, but kama mwanume alimpenda X wake na kupenda kuendelea nae, be careful hata anaweza kutembea na mkeo bcoz alikuwa nae kabla hujamwoa, in general ni both gender

Kama ni kwa gender zote then, huna sababu ya kumtaja mwanamke tu.
 
Hakuna cha research wala nini. Hii ni hofu tu ya wanaume. Mwanamke akimfumania mwanaume yeye mwanamke huumia kwa kudanganywa. Mki-solve ishu anakusamehe na yanaisha. Mwanamme akifumania atadanganya na kujidanganya mwenyewe kuwa kasamehe lakini chinichini huendelea kujiuliza, "Hivi hili jamaa limenizidi nini hadi mke wangu alikubali? Hivi lilifanya naye kweli? Yaani likamlalia kabisa?" Wavulana ni watu wenye hofu sana.

Angalia hata posts zinazowekwa na wanaume hapa JF kuhusu mapenzi, nyingi zinazungumzia wivu au dominance ambayo wanaume wanataka kuwa nayo kwa wasichana. Posts kama, "Mwanamke hamsahau mvulana wake wa kwanza" etc. Huu ni mwendelezo tu wa hofu za wanaume. Baadhi ya wanaume hujiondoa katika kupenda na kusema, "Mwanamke si mtu wa kumwamini, hata biblia imeandika" wakati hao hao wanaowalaumu wanawake wao si waaminifu. Msichana anaweza akakutana na girlfriend wa zamani wa mume wake na wakapiga stori lakini mwanaume hawezi akakutana na boyfriend wa zamani wa mkewe na akapiga stori kwa moyo mmoja.

Hivi wanawake haya mambo ya udhaifu wa wanaume hamyajui? Hamchoshwi na posts za kila mara zikitaja maneno dhidi yenu kama:

  1. Kumega
  2. Chapa ilale
  3. Gonga
  4. Piga etc
Mi nashangaa!!!!!!!! Naona wanawake mnaona sawa tu.........!! Ah haya bwana.

Baadhi ya wanaume wamezoea uasherati kiasi kwamba wamejisahau kabisa na kuona uovu wa kimapenzi wanaoufanya wakulaumiwa ni mwanamke tu. In fact, walio wengi wananuka ngono hata akili zao!
 
MR usibishe bana, yanayosemwa yana ukweli kwa kiasi kikubwa!

Si ndiyo maana kama yanafanyika ni kwa sababu huyo dume kageuka *****! Lakini kama yuko safi tu mwanamke gani ataenda nje? After all, kama huyo mwanaume yeye haendi nje kwa nini amfuate aliyelala naye hapo zamani? Logic yake ni nini?
 
Kwa hili jamani atanisamehe, maana imeandikwa, "mtu na asimwache mke ila kwa sababu ya uzinzi" Nikimkamata sitaki ugomvi ila ni kumpiga kibuti tu. Jamani ukimwacha na umsahau, kwaninio kudandia wake za watu na hali singles wapo kibao. Haya mambo jamani tumechoka kuibiwa na kuvurugiwa ndoa zetu
Hawa wanaojiita vidume ngojeni tuwatafute akina kalumanzila weeeengi muwe mnanata mkiwa mna Do!!!
Aaahh... nilifuatilia hili hadi nimepata almost 75% wanasema kama ukishakuwa na uhusiano
na mwanamke kabla ya kuolewa/ akiwa ndani ya ndoa yaani mmekuwa mnamegana, na kuachana kwa sababu nzuri tu, labda kaolewa kahamia mbali, au kahamishwa kazi then akaja olewa au ulishalala na mwana mke mara moja na hamjagombana siku yeyote ukimwomba hawezi kukunyima, so wanaume watalaam wa mapenzi ni vigumu kugombana na wanawake wanajua siku moja wataonana na kupewa as usual, awe ameolewa au single ili mradi upate SIKU MOJA then siku zijazo hakuna kutongoza , just make a call na
kupanga time utapewa, kumbe ni kale ka aibu ka mwanzo tu, aiseeeeeeeee, mm nimeshanoa panga ole.
 
In short hao wanaume ni wachache lakini madhara yao ni makubwa sana, mmoja anaweza kutembea na wanawake hata 100, kwa sababu waking'ng'ania hawaachi hadi wamege. Na wakimkamata basi ndo hao wanaotumia hata madawa ili tu mke huyu amone tofauti ya mme wake halali.
Ni watu hatari sana. Japo wao wakifanyiwa hivyo ni wakali sana.

Binafsi Boyfriend wa zamani wa mke wangu siwezi kumwendekeza sana na pia girl friend wangu wasiendekezane sana asije niletea dhambi bure!
Kama unaapenda kumegamega tu basi hili ni la kijinga lakini kubomoka kwa ndoa ni kubaya sana, wengi hufukuzwa kazi kwaajili ya ndoa kumeguka
Baadhi ya wanaume wamezoea uasherati kiasi kwamba wamejisahau kabisa na kuona uovu wa kimapenzi wanaoufanya wakulaumiwa ni mwanamke tu. In fact, walio wengi wananuka ngono hata akili zao!
 
nini mkiachana kwa nia njema? Hata kama mlitupiana virago, kama ulikuwa unakmamua vizuri tatulia na kukupa tena baada ya muda kama utamuomba. Haya yamenikuta. Ishu ni kuwa na subira tu. Mwache kwa muda hasira zipoe. Pia akose yale mapigo uliyokuwa ukimpa awali. Atakuja tu!

duh!!!!
 
Sasa hii inatisha maana tunaoa wake wameshapitia o level, A level na vyuo, bado sehemu alizotembelea jumlisha na nyumbani kwao, kote huko pengine alikuwa na wapenzi tofauti na waliachana si kwa kugombana bali kwa vile shule/chuo wamemaliza kila mtu anarudi kwao. Hapa mimi pressure inapanda, pressure inashuka, ok napotezea kwani hata mimi huwa natoka nje ya ndoa bila wife kujua ila mara chache chache sana.

Aiseh....Chapa umenena mkuu. Yaani kwanza mbavu sina kwa ukweli wa maneno yako halafu yote haya nimeyapitia. Dawa kupotezea tu....ila tusipowaoa tutaoa nini?
 
comfirmed wapi sasa manae kujainisha wazi. wee mkeo akilwa utafuri? si wote wengi wanajiheshimu sana hao wanaopokea hela ili ukutane nao kesho yake ni tamaa zao huenda hata ni vichangu we hujui.
 
Dah hiyo mkuu research yako iko hai kabisa kabisa, mfamo mimi mkuu nilikuwa na mademu kama watatu na wote sahizi wameshaolewa na wananyumba zao wote hao tuliachana kwa amani tu kutokana na umbali lakini leo nagonga hao wote bila shida ,muda wowote ninao taka ingawa lazima asema sikuhizi jamani mimi nina mume sitaki hayo mambo lakini mwisho wa siku mzigo unakula kiiulaniiiii bila shida. Research yake inaukweli tenamkubwa sana.

Cha msingi wanawake tulieeni na ndoa zenu jamaniii eeeehhh


Unadhani unafanya vizuri katika hayo uyafanyayo?
Unajisikia je, unapoielezea jamii, upumbavu unao ufanya?

Nini fundisho lako katika hilo, Je wewe huoni aibu kuingia kwa wanawake watatu
tena wake za watu bila hata hofu.

Halafu mwisho unatupia lawama wanawake, eti wanawake tulieni na ndoa zenu.
Sio wewe uache, kuchakuchua ndoa za watu??

Daaaa, nisamehe lakini???
 
Mbona hii ni kweli kabisa,kuna demu nilikuwa nammega enzi za o-level tukapotezana for more than 10 yrs,nikakutana nae mwaka juzi ameshaolewa na ana mtoto.,yeye mwenyewe akataka tupashe moto kiporo chetu,since then kila mumewe akisafiri lazima anitafute,kibaya zaidi ni kuwa anamponda mumewe na kujuta kwa nini aliolewa nae.

Yeye mwenyewe akataka tupashe moto kiporo chetu???!!!!???:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
Haya endelea kula viporo, halafu ona unavyojipa haki (yeye mwenyewe )
akisafiri lazima (anitafute)

Duuu haya, how cheap you are???? kula viporo tu, haribu na huyo mtoto wa watu kabisa.
Unaona sifa eee!!!



 
Hii mada sijui ngumu, ni hivi kukiwa na wapenzi wawili, wakaachana vizuri kwa sbb mbalimbali, wakikutana tena na bado wote wana hali nzuri, ukikuta mwanume kaoa au mwanamke kaolewa au wote hawajaolewa ila kila mmoja ana GF/ BF mwingine WATACHAPANA TENA KWA SPEED kali,
na mahaba mazito, so tuwe makini na wapenzi wetu, ndio swala hapa, si kumzalilisha mwanamke au mwanaume hii in ukweli mkubwa sana, watu wagumu mno kukubali hili, ok byeeeeeeeeee
 
Duh ndiyo maana UKIMWI ulikuja na hautapotea kwa style hii. Roho mtakatifu atusaidie sisi wakosefu tuwe na dhamira safi.
 
hio theory yako inaaply kwa wanawake vicheche.hawakutakiwa kuolewa in the first place sababu hawana msimamo..........tena epuka kufata wanawake wa hivyo,kama alikupa wewe usidhanie atashindwa kuwapa na wengine.
 
Alaaa kumbe so it means yule girlfriend wangu aliyeolewa nikienda ku-test tena nitapewa duh inanifanya nipate :hungry::hungry: ya ku-rewind mechi tena will do nidful nimtafute nione if it will work out lol!!!!!!!!

Hii mkuu ni kweli kabisa, hawa viumbe wapo kwenye wakati mgumu sana, wengi wao ni watu wa aibu sana na huruma sana, ukiomba appointment lazima utapewa tu kimyakimya, tuishi nao kwa akili sana.
 
Na hili huchangiwa zaidi kama mume si mtalaam kunako sita kwa sita. Ushauri mume jitume ili kumsaahulisha michepuko yake ya zamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom