Mwanamke yeyote akikupa mara moja, hata akiolewa ukimwomba tena atakupa tu

Aaahh... nilifuatilia hili hadi nimepata almost 75% wanasema kama ukishakuwa na uhusiano
na mwanamke kabla ya kuolewa/ akiwa ndani ya ndoa yaani mmekuwa mnamegana, na kuachana kwa sababu nzuri tu, labda kaolewa kahamia mbali, au kahamishwa kazi then akaja olewa au ulishalala na mwana mke mara moja na hamjagombana siku yeyote ukimwomba hawezi kukunyima, so wanaume watalaam wa mapenzi ni vigumu kugombana na wanawake wanajua siku moja wataonana na kupewa as usual, awe ameolewa au single ili mradi upate SIKU MOJA then siku zijazo hakuna kutongoza , just make a call na
kupanga time utapewa, kumbe ni kale ka aibu ka mwanzo tu, aiseeeeeeeee, mm nimeshanoa panga ole.

Kwa nini uiweke kwa mwanamke tu (isn't it paternalistic?) na usiseme waliokwisha tembea pamoja (mume na mke) na wakaachana kwa sababu nzuri kuna uwezekano mkubwa kuwa wakikutana wanaweza kupeana tena. Ulivyoiweka hii post, una'imply' kuwa wanawake walioacha au achika (kwa sababu nzuri) huwa wanawatafuta wanaume waliokwisha lala nao, kitu ambacho siyo kweli. Hata kwa mwanamume kuna uwezekano mkubwa wa kufanya tena mapenzi na mwanamke aliyekwishawahi kufanya naye. Kama isingekuwa kweli basi wanaume mara zote wangekuwa wanakataa kata kata. Lakini experience haioneshi hivyo! Uko hapo?
 
Generalists against the reality! Sio kila wakati mambo yanakuwa hivyo.Especially sasa hivi
 
Aaahh... nilifuatilia hili hadi nimepata almost 75% wanasema kama ukishakuwa na uhusiano
na mwanamke kabla ya kuolewa/ akiwa ndani ya ndoa yaani mmekuwa mnamegana, na kuachana kwa sababu nzuri tu, labda kaolewa kahamia mbali, au kahamishwa kazi then akaja olewa au ulishalala na mwana mke mara moja na hamjagombana siku yeyote ukimwomba hawezi kukunyima, so wanaume watalaam wa mapenzi ni vigumu kugombana na wanawake wanajua siku moja wataonana na kupewa as usual, awe ameolewa au single ili mradi upate SIKU MOJA then siku zijazo hakuna kutongoza , just make a call na
kupanga time utapewa, kumbe ni kale ka aibu ka mwanzo tu, aiseeeeeeeee, mm nimeshanoa panga ole.

Kwa mantiki hii unaonesha wanaume ni great seducers and womanisers!
 
Unanikumbusha katika pitapita yangu kitaani pale Sinzawa wajanja nikaona nikakutana na lori lenye maandishi haya " MTALAKA HATONGOZWI" kazi kweli kweli tuliona na mywife zetu.
 
Inawezekana nadharia hii ni ya kweli, pita pita yangu kitaani pale Sinza kwa wajanja nikapishana na lori limendikwa " MTALAKA HATONGOZWI" Kazi kwetu tulio na mywife zetu.
 
Kwa nini uiweke kwa mwanamke tu (isn't it paternalistic?) na usiseme waliokwisha tembea pamoja (mume na mke) na wakaachana kwa sababu nzuri kuna uwezekano mkubwa kuwa wakikutana wanaweza kupeana tena. Ulivyoiweka hii post, una'imply' kuwa wanawake walioacha au achika (kwa sababu nzuri) huwa wanawatafuta wanaume waliokwisha lala nao, kitu ambacho siyo kweli. Hata kwa mwanamume kuna uwezekano mkubwa wa kufanya tena mapenzi na mwanamke aliyekwishawahi kufanya naye. Kama isingekuwa kweli basi wanaume mara zote wangekuwa wanakataa kata kata. Lakini experience haioneshi hivyo! Uko hapo?

ni kwa gender zote bana, but kumbuka mwenye control kubwa ya haya maswala ya mapenzi ni mwanaume, kama mwanume akitakwa na X wake anaweza kusema no na ikawa no, but kama mwanume alimpenda X wake na kupenda kuendelea nae, be careful hata anaweza kutembea na mkeo bcoz alikuwa nae kabla hujamwoa, in general ni both gender
 
Hakuna kitu kama hicho itakuwa sio kwa wanawake wote.wanaume uliozungumza nao na wakakupa data hizo basi walikutana na maharage ya mbeya.mimi binafsi na wanawake wengine hatuwezi kurudia matapishi iwe kwa wema tuliachana au jiografia ilitutenganisha.nikishafungua ukurasa kwa mtu mwingine sitaki kurudi page ya nyuma natafuta nini kwanza?basi nikusoma kwenda mbele,hata mawasilianao nae kwanza napoteza asijeniganda bure kujua bado nampenda au kuamini theory kama yako hiyo akaniganda.
ahh umeongea ya maana!!!
waambie wajue
 
Halafu ubishi wa hivi mara nyingi unapelekea kuliwa.
 
sitegemei wanawake walio wengi wakubali. Lakini kaukweli kapo na huo ndio utamu wake.
 
ahh umeongea ya maana!!!
waambie wajue

maharage ya mbeya maana yake ni bei rahisi? au, Rose naona unapinga kweli kulikoni? mada ipo open na ukweli upo, japo tetea kuwa kuna ukweli mkubwa, ask & do research kidogo tu, utasema kumbe, but wanawake hawapendi kuonekana wana mpenzi more than one, hata siku moja, ukweli bana rose
 
Aaahh... nilifuatilia hili hadi nimepata almost 75% wanasema kama ukishakuwa na uhusiano
na mwanamke kabla ya kuolewa/ akiwa ndani ya ndoa yaani mmekuwa mnamegana, na kuachana kwa sababu nzuri tu, labda kaolewa kahamia mbali, au kahamishwa kazi then akaja olewa au ulishalala na mwana mke mara moja na hamjagombana siku yeyote ukimwomba hawezi kukunyima, so wanaume watalaam wa mapenzi ni vigumu kugombana na wanawake wanajua siku moja wataonana na kupewa as usual, awe ameolewa au single ili mradi upate SIKU MOJA then siku zijazo hakuna kutongoza , just make a call na
kupanga time utapewa, kumbe ni kale ka aibu ka mwanzo tu, aiseeeeeeeee, mm nimeshanoa panga ole.

Mkuu kwanza umeoa?
 
Mbona hii ni kweli kabisa,kuna demu nilikuwa nammega enzi za o-level tukapotezana for more than 10 yrs,nikakutana nae mwaka juzi ameshaolewa na ana mtoto.,yeye mwenyewe akataka tupashe moto kiporo chetu,since then kila mumewe akisafiri lazima anitafute,kibaya zaidi ni kuwa anamponda mumewe na kujuta kwa nini aliolewa nae.
 
Sasa huyo nae anahesabika??Tayari umeshaona hana heshima..kwahiyo hii inawagusa wasiojiheshimu na wasio heshimu wenza wao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom