Mwanamke wa Kikurya apokonya majambazi matatu bunduki aina ya SMG

Aisee, safi sanakumbe kule kutandikwa na waume zao ni kuwapa ujasiri wa kiwango cha juu sana. Hongera mama ila pole kwa mafunzo ya ujasiri uliyo pitia.
 
Ushauri kwa ambao hawajaoa, nendeni Tarime ili kupata mke wa kikurya ambaye atasaidia ulinzi shirikishi ndani ya nyumba hasa mnapokuwa hampo. Haya makabila mengine mke anaweza kuporwa hata kwa kutishiwa makofi tuu.
 
Sio kama wanawake wa Dar hata kipepeo tu kinawatisha

Acha utoto wewe unasema mwanamke wa Dar wakati askari aliyefundishwa mbinu zote akiona ile mashine ana palalyse ukiwemo wewe na mimi kumnyang'anya jambazi bunduki inabidi upate chakula alichokitetea mbunge wa Nzera Joseph Msukuma
 
Sasa mkuu kuna sababu gani ya kubishana mie nimesema wanawake wa Dar
 
Ushauri kwa ambao hawajaoa, nendeni Tarime ili kupata mke wa kikurya ambaye atasaidia ulinzi shirikishi ndani ya nyumba hasa mnapokuwa hampo. Haya makabila mengine mke anaweza kuporwa hata kwa kutishiwa makofi tuu.

Hebu turudi nyuma siku ukimuudhi utakula kibano mpaka ukimbie nyumba
 
Kuwa jasiri haimaanishi kutokuwa na woga kabisa, bali ni kuamua kufanya woga kuwa chaguo la mwisho kabisa.
 
Huyu mama anahitaji kutambuliwa kwa kupongezwa kitaifa. Wanawake wa aina hii ni nadra kupatikana katika kizazi cha leo
 
ni naonelea kwa sasa aanzekupewa saluti huku akijiandaa kwa zawadi nono yaan wakipita kwenda doria saluti na kusema heshima yako mkuu
 
eti kama kwene lile tangazo la cloud tv la bebi no 1 yule demu anapewa kachura anataka kufa nmesononeka sana angarabu wew mama umewatoa wanawake wa hko kimaso maso
 
Back
Top Bottom