Mwanamke wa Kikurya apokonya majambazi matatu bunduki aina ya SMG

Ngoja tuone jeshi la polisi watamzawadia nini kwa ujasili alioonyesha.Kafanya kitendo ambacho hata wao na dhani hawaamini kama inawezekana.
 
Kijeba mzima
VIP wanaume wa dar wanawakimbia panya road, acheni chips yai nyie mbwela mbwela
Kijeba mzima unashindia chipsi unafkiri pilika kama ya huyu mama utaiweza?Vidole laini hata ndoo ya maji kubeba kazi.Huwezi hii mizigo,eti kitoto cha miaka sijui 15 kinawafanya watu wanalia lia,ohoo panya sijui nini.Wanabahati walifanyia huko Dar hao.Si unaona huku kwetu mama tu katia kazi,jiulize mbaba atafanya nini,ungekuta huyo dogo kasha chemshwa supu zamani saaana.
 
Unawajua vizuri panya road ?....Subiri siku ukutane nao uani wakati unajisaidia utoke baru na kyupi kyako mkononi....
Chimbuko la Panya road & Vigodoro !!
 
Kijeba mzima

Kijeba mzima unashindia chipsi unafkiri pilika kama ya huyu mama utaiweza?Vidole laini hata ndoo ya maji kubeba kazi.Huwezi hii mizigo,eti kitoto cha miaka sijui 15 kinawafanya watu wanalia lia,ohoo panya sijui nini.Wanabahati walifanyia huko Dar hao.Si unaona huku kwetu mama tu katia kazi,jiulize mbaba atafanya nini,ungekuta huyo dogo kasha chemshwa supu zamani saaana.
Umemaliza kila kitu, vijanaume vya Dar hats kwa bed Ni kimoja Tu vinakuwa hoi
 
Bwana weee acha uwoga wewe.Tatizo umeweka fikra zako kushindwa,sasa tunatofautiana ndugu.
Basi kapitepite kule Buguruni Kisiwani kuanzia SAA 1 jioni halafu ulete mrejesho hapa"Sikujua kumbe panya road ni noma"......
 
Nilikuwa na mwanamke wangu wa Kikurya siku moja kaenda kumpokea ndgugu yake Ubungo saa tano usiku. Pale darajani vibaka wakapora laptop, Alimng'ang'ania mmoja mpaka kituo cha polisi despite kipigo alichokuwa anapata. Tumeshindwana kwa ajili ya utemi wake.
 
Basi kapitepite kule Buguruni Kisiwani kuanzia SAA 1 jioni halafu ulete mrejesho hapa"Sikujua kumbe panya road ni noma"......
Mara ngapi nikapite?Usiniletee hadithi za kitoto hapa.Wewe kaa ndani na uoga wako.Anga zingnine acha tu kama zilivyo.Endelea kulialia...
 
Back
Top Bottom