TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,787
- 2,078
wenye sura ngumu utawaona tu.
Sura kavuuuuuuuuuuuu hata kaloraiti inagonga mwamba
wenye sura ngumu utawaona tu.
Umaarufu gani ni style yako?
Potezea mama, hivi hapo ulikuwa umepanda kwenye chombo ulikuwa unaenda Unguja au Pemba?
sidhani kama unaingia kwangu hata tukifanya 1/32
na wewe si uweke hiyo sura basi wanaume waione. Aaaaarrrrrrrgggggh
Sura kavuuuuuuuuuuuu hata kaloraiti inagonga mwamba
nilidhani ndo unakupa maisha mazuri kumbe ni kujiweka hadharani huku jf? so what?
craaaaaaaaaaap
kumbe unataka wanaume wakuone? kumbe upo kimauzo eeeh? mi siko ivo mama sijaja huku kuuza sura kwa wanaume wa jfna wewe si uweke hiyo sura basi wanaume waione. Aaaaarrrrrrrgggggh
ana uzuri gani huyo amezeeka hadi anatoa mvukena wewe hebu msifie mwanamke mwenzio basi...........
kumbe unataka wanaume wakuone? kumbe upo kimauzo eeeh? mi siko ivo mama sijaja huku kuuza sura kwa wanaume wa jf
soko ni lako.usinihusishe tafadhali
ana uzuri gani huyo amezeeka hadi anatoa mvuke
naona leo unanikana ? usitukane mamba?Wanawake kwa roho zenu mbaya siwawezi
ana uzuri gani huyo amezeeka hadi anatoa mvuke
Mambo ya Maldives hayo. Nilienda kutalii mara moja.
ana uzuri gani huyo amezeeka hadi anatoa mvuke
cheki mabega hanywi dadii kweli huyu? au wanzuki?Hahahahaa. . . Smiley mbege ya christmass imekuharibu.
umewahi kufika kwenye hivyo visiwa vya maldive ,umenikumbusha colombo ,sri lanka.