Mwanamke/Mschana kuwa mcheshi

nenda kinondoni makaburini ndo utajua kwa nini ucheshi unatumika ktk ushawishi wa ngono. Ikumbukwe mwanamke kuwa na staha ni muhimu sana. Sio kukenua muda wote kwa kila anayekatiza mbele yako, lazima utasemwa vibaya kwani hiyo ni style ya machangudoa jamani wadada zetu.



Kwa asili mwanamke anatakiwa awe mcheshi ili mpenzi/mumewe ajisikie raha anapokuwa naye, na ni kweli wanaume hupenda wanawake wacheshi. Tatizo vicheche vingi hupenda kujilengesha kwa style ya kujichekesha kwa wanaowawinda. Kwa kuwa ni ngumu kutofautisha yupi ni yupi, hapo ndo generalisation inapofika, kiukweli sio kila ajichekeshaye ni 'public woman'.

Kwanini muwe na negative generalisation why not a positive one? Inamaana wanaume waliyo nafikra hiyo kuhusu mdada mcheshi wao huwa wanaenda sana kinondoni kwa wadada poa? Kwanini kaka aliyekuwa mcheshi wadada wasifikiri kuwa nae ni mwingi?
 
tena wacheshi ndio wanakuwa wagumu na wawazi, coz wanaweza kukuambia ukweli usoni, kuliko wa shingo upande, wanakuwa wakimya sana ila wanakula kwa kwenda mbele tena kimyakimya unashangaa kawamaliza group zima la marafiki, naona uchunguzi wako uufanye tena

waambie hao gaga! Wapole wabaya nyie. Mmmh! Ila inategemea, wapo wacheshi unaweza wapata kirahisi na wapo utachekewa huku unapgwa calendar hadi unachoka mwenyewe.
 
asnte dear asante
maana ni ngumu kuamini ila yote maisha
yaliubwa kwa ajili yetu ...mungu anipe ujasiri
 
Back
Top Bottom