Mwanamke kutoka nje ya ndoa

Surabaya

Member
Nov 25, 2011
14
0
Nini cha kufanya pindi unapogundua mke anatoka nje ya ndoa na pia unapobaini kwamba kumbe ni tendo la siku nyingi na pia amekuwa na mahusiano na zaidi ya mwanaume mmoja
 
Kwahiyo wewe watu wakikwambia endelea nae utaendelea nae?Wakikwambia uachane nae utaachana nae?

Haya mi nashauri ikitokea uendelee nae tu. . . unakua kabisa rafiki na jamaa zake.
 
Nini cha kufanya pindi unapogundua mke anatoka nje ya ndoa na pia unapobaini kwamba kumbe ni tendo la siku nyingi na pia amekuwa na mahusiano na zaidi ya mwanaume mmoja

Surabaya
  1. Gather undisputable evidance regarding her indesecretions and/or set up a trap and bust her live!
  2. Then mkalishe chini muuongee and kudiscuss the whys , when, and howcomes if you still love her and want to continue with the relationship.
  3. If not divorce her cheating ass and move on with your life, fingers crossed hopefully to greener pastures:tongue:
  4. Last but not least Dont forget kwenda kujipima na kujua status ya afya yako, ready kwa maisha yenu mapya if #2, or maisha mapya na mwingine case # 3
 
jaribu kumfanyia conseling...!inawezekana ww humfiksh pale anataka..!kumuacha cyo solution,,jaribu ku2mia huo ushauri kaka..
 
Wala hakuna la kujadili hapo.Fukuza kabisa na usigeuke nyuma,anza maisha mengine tena.yaan akulishe makombo na ww bado ujadili nae tena? je ulimuoa ama alikuoa?
 
Achana nae kabisa maana hamtakaa salama maana kila siku wkt iatakuuma tu tu hata kama ameomba msamaha kiasi gani. KilA wakiweka mchezo wa kuigiza unaona kama wanalenga wewe au ukikutana na hizo njemba hasira zirudi upya. ukipita karibu na sehemu walipokuwa wakifanyia hayo matendo pia uchungu unarudi upya. ni bora kupisha yote kwa kuachana nae.
 
Dini inazuia taraka(bible)unless una concrete evidence ya uzinz wake,usijefuata maneno ya watu ukamuacha mkeo while bado unampenda,kama wewe ni muislam oa mwingine faster na huyo usimwache,
Huu ni ushauri tu but at the end MZIGO NI WAKO.
 
Muache! kama unampenda hama kijiji! kama huwezi kuhama kijiji kwa vile kuna maslahi yako, basi muue mwizi wako, la sivyo itakula kwako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom