Mwanamke kutoka nje ya ndoa

jaribu kumfanyia conseling...!inawezekana ww humfiksh pale anataka..!kumuacha cyo solution,,jaribu ku2mia huo ushauri kaka..

Hilo gumu maana huwa ni wakali sana, ujue mambo hayo hufanyika kwa siri na kuhakikisha wewe usijue, na pale unapoona dalili kisha kumwambia atakushangaa kwa vile hujamshika ugoni
 
Ukishajua ni kutemana nae hakuna haja ya kupigizana kelele ukitoka out unamshit maana ukiwa nae unajichoresha tu mfumo dume hapo lazima uanze kufanya kazi achit mchana ukiwa job au safarini!!???
 
Sa we kama umeisha fahamu kabisa mke wako ana zini na una uhakika 100% ana zini nje ya ndoa, unategema yule ni mke wako tena!

Hivi talaka unadhani iliwekwa kwa sababu gani, unadhani ni pambo.
 
Inamaana wew hauna hata hakiba ya bunduki nyumbani??

Ni ujinga selaaa kujitafutia mada bure ukatesekee sero fahamu hy ni mtu tu ulikutana nae mkaamua mlisongeshe life huwezi jua alikua anafanya mangapi kabla yako man!! Unakuta alishafixiwa na mtaa mzima inakuwaje hapo!!??
 
Muombee Mungu atambadilisha tu. Shetani kampitia tuu! Mpeleke kwenye maombi, mpende zaidi na umsamehe!
 
Mungu sio Mungu wa wazinzi na majambazi na wabakaji. Ni Mungu wa walokole ambao wamefanywa kuwa wana.

Mungu ni mwingi wa Rehema, mwenye kusamehe na kurehemu. Ni Mungu aonyae, ni Mungu anayependezwa na mwenye dhambi mzinzi kahaba mbakaji na muuaji akitubu na kuacha dhambi!
 
Muombee Mungu atambadilisha tu. Shetani kampitia tuu! Mpeleke kwenye maombi, mpende zaidi na umsamehe!

jaman tuache kuwa tunamsingizia shetani tunapokuwa tumefanya upuuzi wetu. Tuwe na mipaka ya kufanya ushenzi kama huo.
 
Mungu ni mwingi wa Rehema, mwenye kusamehe na kurehemu. Ni Mungu aonyae, ni Mungu anayependezwa na mwenye dhambi mzinzi kahaba mbakaji na muuaji akitubu na kuacha dhambi!

Ni kweli na sidhani kam kuna mtu asiyemjua Mungu pamoja na ukuu wake,Ila isiwe kigezo cha kutetea waovu wanaofanya uzinzi alafu ategemee kusamehewa kisa Mungu kasema, Ni wajane wangap na mayatima tunawaona wanateseka ukiuliza utasikia baba yao or mme au mama yao alikuwa mhuni akafa na Ukimwi, Hivi kwel huyo Mungu wa haki anapenda kuona watu wateseke sababu ya dhambi za mtu mwingine.
Mim kama mwanamke niliye ndoani naona kuwa Anayecheat ni ameplan( awe mwanamke au mwanaume)hakuna cha kupitiwa na Shetani na ni bora muachane kabisa sabab inakuwa mnanafkiana huko mwenzio anawawaza wapenz wake wa nje.
Kwanz mtu mpaka awaze kuwa na mtu mwingne inamaanisha wew huna jipya kwake.
 
Msamehe tu. kaeni chini ujue tatizo liko wapi. utamwacha atakuja mwingine utashangaa na yeye atafuata tabia hiyo hiyo
 
Mungu ni mwingi wa Rehema, mwenye kusamehe na kurehemu. Ni Mungu aonyae, ni Mungu anayependezwa na mwenye dhambi mzinzi kahaba mbakaji na muuaji akitubu na kuacha dhambi!

Unadhani mwanamke mwenye wanaume WENGI kama thread inavyosema ana nia yoyote ya kutubu kweli??? Zamani tulikuwa tunawatia moyo waovu kwamba Mungu anawapenda, lakini siku hizi za mwisho hakuna kuremba Mungu hapendi wenye dhambi. Ibrahim alikuwa rafiki wa Yehova kwa kuwa alikuwa mcha Mungu sio kwa kuwa alikuwa mwovu...!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom