faithful
JF-Expert Member
- Aug 10, 2010
- 378
- 33
Nadhani hukuelewa nilichosema ni kelele. Umekuja hapa na kauli "Hao wanawake sita wote wanafanya kazi vizuri sana kwenye wilaya zao". Mimi nilichokataa ni kusema WOTE SITA wakati namjua fika kati yao kuna ambaye hafanyi kazi vizuri. Hayo mengine wala sikuwekea comments na vizuri umeendelea kuweka taarifa za uongo kuwa KILA MTU ana ndoa wakati kuna wasionazo na wako hapo kwenye hiyo picha!! Ukweli hauna siasa ...changanya na zako mkuu...
OK.nimekuelewa wangu!mtazamo wangu wananchi wa wilaya husika ndio watajua D.C wao ni mchapakazi au la!kama upo kwa mlengwa utakuwa unajua ukweli...na kusema kweli ni ma D.C wachache ndio wapo ndani ya ndoa za kiukweli yani za kisheria....ila wengi mno wanajiheshimu sana so inaniuma nikisikia wanaitwa chakula cha wakubwa!hilo tu ndio lina nifanya nitetee!sorry kama nimekukwaza.