Mwanamke aliyekuzidi urefu..............

Kwa kweli hata mimi sijawahi kuwa na mwanaume nayemzidi kimo. Ni kweli kuna ku feel more secured ukiwa na mtu mrefu zaidi yako. Kaka yangu ni mrefu wa kawaida ila ameoa mwanamke mrefu kweli kweli. Siku ya harusi eti anamwambia avae flat. Na mara nyingi wifi akivaa viatu virefu kaka anamwambia hajapendeza. Nadhani anaona soo kuzidiwa kimo.
 
Topic juu ya Topic,
kuna mawazo kwamba wanawake wafupi ni WABISHI kupita maelezo!!,
Yaani eti wanabishaga hata kwa mambo ambayo yako wazi tu.
 
Kwa kweli hata mimi sijawahi kuwa na mwanaume nayemzidi kimo. Ni kweli kuna ku feel more secured ukiwa na mtu mrefu zaidi yako. Kaka yangu ni mrefu wa kawaida ila ameoa mwanamke mrefu kweli kweli. Siku ya harusi eti anamwambia avae flat. Na mara nyingi wifi akivaa viatu virefu kaka anamwambia hajapendeza. Nadhani anaona soo kuzidiwa kimo.

Hio imekaa vyema.....lol...lol... mjanja kweli kakako.... Dah!
Na kingine ukweli ni kwamba kaka zetu wafupi wako sensitive saaana
hata ukifanya kosa bahati mbaya anona makusudi umemdharau kwa ajile ya ufupi!!
 
Ngoja wafupi waperuzi post yako. lol
 
Unakutana na kamtu kafupi kama kanaendesha gari unaweza ukadhani gari haina driver.
 
Back
Top Bottom