Mwanamke aliyekuzidi urefu..............

KWA MFANO: wewe mwanaume umefahamiana na mwanamke mwenye sifa zote unazozitaka za mwili na tabia, naye anakupenda, LAKINI ni mrefu kukuzidi wewe. Unaamuaje?
 
Hahaha!!! Imenibidi kucheka tu maana ngoja ni-reserve my comments, akikuzidi a few inches sio mbaya lakini sio ile ya hadi utafute stuli au kitu that's inappropriate kwa kweli.
sasa ikitokea jamaa ni mfupi anasifa zote zingine ndo asimpende demu aliemuona anamfaa kisa kapitwa urefu? Urefu na mioyo ina mahusiano?
 
Ni woga tu jamani, wanawake warefu ni kama wanawake wengine wa kawaida kabisa, pango ni lile lile, tabia ni zile zile kama ana mbaya au nzuri hizo ni tabia za mtu binafsi lakini hazitokani na urefu au ufupi!!

Nilioa mke akiwa ki miss chembamba kirefu kuzidi mimi, baada ya kuzaa amekuwa mnene ila amekaa vizuri shepu inaonekana lakini na ule urefu ndo amekuwa bonge la mtu kuliko mimi. Yaani naona kila kitu ni kawaida tu yaani no changes za tabia wala nini, ila kabla ya hapo hisia zangu pia zilikuwa kama ninyi!!

So ni uwoga wenu wa maumbo ila mkumbuke `ukubwa wa pua............`
 
KWA MFANO: wewe mwanaume umefahamiana na mwanamke mwenye sifa zote unazozitaka za mwili na tabia, naye anakupenda, LAKINI ni mrefu kukuzidi wewe. Unaamuaje?
kwa mimi ni ngumu kunitokea, kwani nikishazidiwa urefu huwa siendi mbele na kuhitaj kumfahamu mtu kiundani.
 
Mimi nadhani kua kaelement ka inferiority complex, kwani hata mimi mwenyewe imeshanitokea na sipendi demu mrefu kuliko mimi!

Wacha hizo,mbona Prezidaa Sarkozy na hayati Chiluba wamepeta vizuri tu kwenya ndoa zao.
 
Unanikumbusha stori za SANI when i was the primary student,zamani sana,BETINA JE?
Ufupi si Hoja cha Msingi ni Kujua ABCs za Mahusiano. Mfano Mzuri ni Mimi Dr. Love na Zena, Zena amenizidi kila Kitu, Urefu Amenizidi sana, Urefu amenizidi sana, lakini silaha yangu kubwa najua ABCs za Mahusiano
 
mwanamke mrefu hanifai kwakweli...ukimkumbatia badala ya yeye kulala kifuani kwako wewe ndio walala kifuani kwake...hapana kwa kweli.
 
Kumbe mie mkaka mrefu ni multpurpose,yani natwanga kote kote,yani demu awe mrefu or mfupi,me ni kutwanga 2.
 
Mi naona inategemea na fikra za mtu, binafsi nimempata mrefu na tunakaribia kufunga ndoa. Kanizidi, sio siri kanizidi kwelikweli. Halafu nasikia wanaume warefu hawachelewi kuchoka, nasikia vijitu vifupi vina balaa wakati wa shuguli. Naomba wanawake wanithibitishie hili!
 
Moja ya aspects katika mahusiano ni protection...
utajisikiaje protected hali wewe umemzidi kupita maelezo...lol

On a serious note hata akikuzidi basi iwe kiduchu..
 
Back
Top Bottom