Mwanamke aliyekuzidi urefu..............

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Hivi kuna uhusiano gani kati ya urefu wa mwanamke na mapenzi/kupenda? huwa inanitokea,mwanamke akinizidi urefu huwa naishia mzuka kabisa hata awe mzuri vipi. Nimejaribu kuuliza marafiki wa karibu nao wana mtazamo kama wangu. je hii huwatokea wanaume wote, kama ni hivyo sababu ni nini?
 
mkuu hiyo ipo saikologikali sana tu na sio wewe tu...hata wanawake wengi hupenda mwanamume amzidi urefu, jaribu fikiria mwanamke mrefu amkiss mwanamme mfupi...kiama
 
tall-woman.jpg
 
Hivi kuna uhusiano gani kati ya urefu wa mwanamke na mapenzi/kupenda? huwa inanitokea,mwanamke akinizidi urefu huwa naishia mzuka kabisa hata awe mzuri vipi. Nimejaribu kuuliza marafiki wa karibu nao wana mtazamo kama wangu. je hii huwatokea wanaume wote, kama ni hivyo sababu ni nini?
wewe kijana huyo ndo mzuri sana kwa kumkunja, wakati wa yale mambo yetu!
 
Wanawake warefu wana Mapango ya amboni marefu kwahyo na wewe inabidi uwe na kikombe cha babu kirefu ili ifike kunako fani.
 
Mwanamke nae akiwa mrefu kukuzidi, kama unachimba biti kwa kosa flan hivi,
lile biti linakua halina nguvu kivile kama mko pamoja mnaonana,
labda ye awe sebuleni we biti unachimbia chumbani
 
Mwanamke nae akiwa mrefu kukuzidi, kama unachimba biti kwa kosa flan hivi,lile biti linakua halina nguvu kivile kama mko pamoja mnaonana,labda ye awe sebuleni we biti unachimbia chumbani
mh kazi ipo
 
Hahaha!!! Imenibidi kucheka tu maana ngoja ni-reserve my comments, akikuzidi a few inches sio mbaya lakini sio ile ya hadi utafute stuli au kitu that's inappropriate kwa kweli.
 
............The Finest kumbe ndo hunitaki!! LOL
Hahaha!!! Lol ukisimama na jinsi nilivyo mfupi kama chupa ya Juice ya Sayona ukiamua kunitwisha makonde mbona ntakoma mie maana unaweza kuamua hata kunipiga mitama dakika moja mie chali.
 
Watu wafupi mara nyingi huwa wanadharaurika kwa ufupi wao, so hata mwanaume hapendi kuwa na mwanamke mrefu zaidi yake kwani anakuwa anahisi kama atamdharau vile kwa ufupi wake (ingawa si kweli)! Lakini akikuzidi kidogo sio mbaya.
 
Nawe unawadharau watu wafupi? Na ufupi ni kuanzia kipimo kipi? 5ft, 6 au ???????
 
Ufupi si Hoja cha Msingi ni Kujua ABCs za Mahusiano. Mfano Mzuri ni Mimi Dr. Love na Zena, Zena amenizidi kila Kitu, Urefu Amenizidi sana, Urefu amenizidi sana, lakini silaha yangu kubwa najua ABCs za Mahusiano
 
Back
Top Bottom