Mwanamke akikuuliza unafanya kazi gani mnachomoka vipi huu mtego?

Sasa hakuna watu mnauliza hilo swali kama nyie.
Wanaume wa skuizi akikujua tu unaulizwa una ishu gani?
Lazima uulizwe ili kujua nadeal na mtu wa aina gani.

Wewe pia unapaswa kuniuliza ili ujue unajishughulisha na mtu wa aina gani, sio nikwambie mimi ni fundi mchundo halafu uanze kuomba hela nyingi.
 
Ndugu zangu

Unapo mpenda mdada pasi na kujali anafanya kazi au hafanyi, pasi na kujali ni mzuri au sio mzuri , pasi na kujali ni tegemezi na masikini sana, pasi na kujali anatokea kwenye himaya tajiri ila moyo umemuangukia unaamua kumtongoza kwa moyo mmoja na kwa upendo wa dhahiri na dhati mno.

Shida inaanza pale mwanamke anapotaka kujua unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato sijui nyie mna wajibuje.


Kwa upande wangu mwanamke nikimtongoza katika kudate date akisha niuliza tuu nafanya kazi gani najua hapa ni kupigwa vizinga au kukimbiwa kabisa inategemeana na nitakavyo mjibu aina ya kazi ni nayoifanya


Je, nyie mnawajibuje hawa viumbe wakiwauliza mnafanya kazi gani?
Kwanini kuulizwa "unafanya gani" iwe shida?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom