Mwanamke akikuuliza unafanya kazi gani mnachomoka vipi huu mtego?

Ndugu zangu

Unapo mpenda mdada pasi na kujali anafanya kazi au hafanyi, pasi na kujali ni mzuri au sio mzuri , pasi na kujali ni tegemezi na masikini sana, pasi na kujali anatokea kwenye himaya tajiri ila moyo umemuangukia unaamua kumtongoza kwa moyo mmoja na kwa upendo wa dhahiri na dhati mno.

Shida inaanza pale mwanamke anapotaka kujua unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato sijui nyie mna wajibuje.

Kwa upande wangu mwanamke nikimtongoza katika kudate date akisha niuliza tuu nafanya kazi gani najua hapa ni kupigwa vizinga au kukimbiwa kabisa inategemeana na nitakavyo mjibu aina ya kazi ni nayoifanya

Je, nyie mnawajibuje hawa viumbe wakiwauliza mnafanya kazi gani?
Mission town ndio jibu ninalojibu mara nyingi akijaa na akaingia kwenye mfumo wangu basi anaanza kuona uhalisia wangu.
 
Ndugu zangu

Unapo mpenda mdada pasi na kujali anafanya kazi au hafanyi, pasi na kujali ni mzuri au sio mzuri , pasi na kujali ni tegemezi na masikini sana, pasi na kujali anatokea kwenye himaya tajiri ila moyo umemuangukia unaamua kumtongoza kwa moyo mmoja na kwa upendo wa dhahiri na dhati mno.

Shida inaanza pale mwanamke anapotaka kujua unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato sijui nyie mna wajibuje.

Kwa upande wangu mwanamke nikimtongoza katika kudate date akisha niuliza tuu nafanya kazi gani najua hapa ni kupigwa vizinga au kukimbiwa kabisa inategemeana na nitakavyo mjibu aina ya kazi ni nayoifanya

Je, nyie mnawajibuje hawa viumbe wakiwauliza mnafanya kazi gani?
Mwambie kuna sehemu umejishikiza ili kisogeza siku, japo pia kuna biashara zako binafsi unafanya.

Akitaka kujua kwa undani zaidi, mwambie asiwe na haraka, as long as mpo pamoja Kila kitu kitakuwa wazi kwake.
 
Ndugu zangu

Unapo mpenda mdada pasi na kujali anafanya kazi au hafanyi, pasi na kujali ni mzuri au sio mzuri , pasi na kujali ni tegemezi na masikini sana, pasi na kujali anatokea kwenye himaya tajiri ila moyo umemuangukia unaamua kumtongoza kwa moyo mmoja na kwa upendo wa dhahiri na dhati mno.

Shida inaanza pale mwanamke anapotaka kujua unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato sijui nyie mna wajibuje.

Kwa upande wangu mwanamke nikimtongoza katika kudate date akisha niuliza tuu nafanya kazi gani najua hapa ni kupigwa vizinga au kukimbiwa kabisa inategemeana na nitakavyo mjibu aina ya kazi ni nayoifanya

Je, nyie mnawajibuje hawa viumbe wakiwauliza mnafanya kazi gani?
Swali muhimu sana katika mahusiano. Chukulia huyo ndio binti yako amesema ana mchumba halafu hajui anafanya kazi gani, mzazi si utaona mtoto ni bogus kabisa.
Kujua kazi ya mwenza wako ni muhimu sana kwa ajili ya kujua mustakabali wa maisha yako, hata kwa mwanaume kujua kazi ya demu ni muhimu.
Ukijua anafanya nini mtu wako ni muhimu sana kwa ustawi wa mahusiano yako au mipango yako ya baadae ya kimaisha na huyo mtu.

Ukiulizwa hilo swali ujue huyo mtu ana akili kubwa sana
 
Ndugu zangu

Unapo mpenda mdada pasi na kujali anafanya kazi au hafanyi, pasi na kujali ni mzuri au sio mzuri , pasi na kujali ni tegemezi na masikini sana, pasi na kujali anatokea kwenye himaya tajiri ila moyo umemuangukia unaamua kumtongoza kwa moyo mmoja na kwa upendo wa dhahiri na dhati mno.

Shida inaanza pale mwanamke anapotaka kujua unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato sijui nyie mna wajibuje.

Kwa upande wangu mwanamke nikimtongoza katika kudate date akisha niuliza tuu nafanya kazi gani najua hapa ni kupigwa vizinga au kukimbiwa kabisa inategemeana na nitakavyo mjibu aina ya kazi ni nayoifanya

Je, nyie mnawajibuje hawa viumbe wakiwauliza mnafanya kazi gani?
Hilo swali sio binti pekee atakaye kuuliza siku ya kwanza,bali hata siku ya kupeleka barua ya uchumba,swali la kwanza wazazi kumuuliza binti yao kwamba mkwe wao anayetaka kuposa anafanya kazi gani? na kama kazi yenyewe hawaja ielewa basi barua haijibiwi.

Ndio maana wazazi huwaga wana wasisitiza mabinti zao "wawaletee mtu wa maana........".Mtu wa maana sio kwamba labda mcha Mungu au mwenye tabia nzuri bali mwenye hela,swala anafanya kazi gani kuingiza hizo hela hawataki kulijua as long ana hela kwao ndio mkwe wa maana.

So sometimes hata wazazi huwaga wana wachelewesha mabinti zao kuolewa sababu wana matarajio makubwa ya kiuchumi kupitia wakwe watakao waoa mabinti zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom