Mwanahalisi (Kubenea) kwisha. Ni Malipo ya Kutumiwa na Mafisadi!

Ushabiki wa kisiasa una athari kubwa sana katika mustakhbali wa nchi yetu. Na mara nyingi itatunyima utaifa wetu na badala yake tunabaki tunachumia tumbo na nchi inaisha!
 
Jamani acheni haya majungu, siyo kweli kuwa Kubenea kanunuliwa na akina RA & EL. Hizi habari zimeanza toka wiki jana na kuendelea. Hii ni fitina na karata ya mafisadi ya kupandana na Kubenea baada ya kushindwa kumuua na kumdhuru kwa matindikali. Popote pale ukiwa ni mpiganaji ni lazima hayo na mengine yakutokea.
Hata hivyo ni nani anayekushawishi wewe kununua gazeti fulani kama siyo content yake, nashangaa watu kuendelea kuzusha kufa kwa gazeti hili la MwanaHalisi wakati magazeti ya kidaku KIU, SANI, IJUMAA nk hayafi licha ya kuandika habari mtori kabisa. Heading kubwaaa ndani ni utumbo mtupu lakini hayafi sembuse MwanaHalisi!
 
............. ni dalili ........

Pamoja na kujitutumua safari hii ............ kudanganyia wasomaji .................... Kubenea bado anaonesha ...................... inasemekana ..................

Kilichonilazimu nijitose hapa JF ni tamko la MwanaHalisi kuwa litakuja wiki ijayo ....................... Mimi na wenzangu tuishio Temeke pamoja na Mbunge wetu.................................

Bwana Dickson A. Mg'hily ................................... kama Mchungaji (sampuli ya akina Mtikila). ......................... kwa tikiti ya CHADEMA, .......................................... kwa sababu huyu jamaa ni TAPELI! Anajiita Mchungaji, lakini ukimpenyezea rupia tu yuko radhi kufunga ndoa na shetani. ..................... kwa kuwa namfahamu sana msanii huyu.

Wenye macho wanaona. Wenye ubongo wanafikiri.
 
Utafiti unaochukua siku moja huwa ni umbeya, kweli mtu mzima na akili zako unasimama na kusema gazeti la kila wiki (weekly tabloid) haliuziki kwa kuangalia siku ya toleo, duh, matumbo haya.
Utafiti wako ungejielekeza kwa magazeti ya kila siku na si gazeti la kila wiki,
 
Takwimu za mauzo haziko kwenye meza, na siku moja kwa gazeti la wiki huwezi pata picha halisi kutokana na sababu kadhaa mojawapo wanunuzi wanaelewa litakuwepo kwa zaidi ya siku moja pili limeingia sokoni saa ngapi, tatu hali ya hewa siku hio ikoje nk. Kwa hiyo sio vema kukurupuka na kutoa habari ya kitakwimu kirejareja
 
Mada imemlenga Dickson A. Mg'hily , tunasubiri majibu yake

Mkuu Ndachuwa, hii kitu sikuwahi kuiona kbisa...Leo ndo niliamua kusearch nyuzi zenye kunihusu ndo nikaona, kiukweli nimecheka sasa....Hahahahahaha...Nadhani nitumie tu busara ya kutojibu maana hata mtoa uzi mwenyewe simfahamu na ningekuwa nimehongwa ili kusema uongo bila shaka hao niliowataja kuwa nyuma ya CCJ na Mpendazoe akaenda mbele zaidi kwa kuandika kitabu na kuwataja humo si wangetushtaki kwa kuwazushia kumbuka kuwa Sitta na Mwakyembe ni wanasheria na wanazifahamu vizuri sheria! Nway, ngoja tu nipuuzie nadhani mwandishi ana lake jambo hasa ukisoma btwn lines...Ila hata hivyonimeceka sana.......
 
Dickson N'g Funguka wadau tukuelewe vema.Unajua kuna watu wapo nchi hii,kula yao lala yao ni uzushi.FUNGUKA KAKA
 
----------- limeharibiwa na baadhi ya wanasiasa wenye nia mbaya na Kubenea
 
Back
Top Bottom