Vita na mafisadi na wauza madawa ni kukiendea kifo?

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,281
Binadamu wote ni jasiri! Hata mimi na wewe, sote ni majasiri na wakati mwingine vile viwango vyetu vya uvumilivu vinapokoma, nafsi na miili yetu hufika ukomo wa kuona maumivu kufaa kuvumilika tena, na hatimaye hujikinahi na kuona sawa tu kwa lolote! Na hapo mtu hukubali hata kukabiliana na kifo na kuudharau uhai tena kwa kuwa ni kama hauna maana tena juu ya hayo madhila anayopitia kwa wakati huo!

Umasikini mkubwa uliopo kwa wananchi, umesababishwa na baadhi ya watu wachache, mafisadi, wauza madawa, walamba asali na kuhodhiwa viongozi na wengi wakiwa chama dola ccm na hii ni kwa sababu moja tu, ni serikali kushindwa na ama kuwaogopa kuwashughulikia kwa nguvu yake

Leo ambacho nimepata wasaa wa kujiuliza saana na hata kupata maswali ni huyu binadamu ambaye kifo hakukiogopa kabisa tena kwa mambo ambayo si ya kifamilia ama yake mwenyewe bali alichagua kufa kwa ajili ya nchi, aliapa mwenyewe kuwashughulikia mafisadi na wauza madawa kwa nguvu zote na hata ikibidi yeye kufa

Huu ni ushujaa uliovuka mipaka hasa katika nchi zetu za watu weusi na webinafsi mno na wenye kujipenda wao kwa wao!

Hayati Magufuli tangu tu mwanzoni kabisa mwa Kampeni zake 2015 mara nyingi alionyesha kuwa alikuwa tayari kufa kwa ajili ya nchi yake, sababu tu ni kweli kwamba, mafisadi na majizi, yapo tayari kuuwa na hata kufanya kila aina ya figisu kwa kiongozi yeyote ili tu yaendelee kujipatia mkate kiulaini,

JPM alipoingia madarakani alitangaza vita juu ya watu hatari kabisa hapa Tz, Mafisadi na mauzaji ya madawa ya kulevya!

Ikumbukwe kuwa, kila aliyeanzisha vita na majitu kama hayo, historia ni mwalimu, wapo ambao walinyanyua midomo yao kujaribu kuwataja watu hao hatari, lakini kwa siku chache hawakuendelea kuishi!

Je, sasa, Rasimi kila mwenye kuanzisha vita na mafisadi, wauza madawa ya kulevya hawezi ishi?

Baada ya kifo cha JPM, kabla hata ya mwaka mmoja kupitia, Vyombo vya Habari nchini vililitangazia Taifa kuwa, siku fulani kutakuwa na tetemeko kubwa ambalo litaleta maafa hasa katika mwambao wa bahari yetu, Vyombo vya Habari vilitoa tahadhari kwa wavuvi, mabaharia na kwa wamiliki wa Vyombo vya majini kuwa, siku hiyo wajihadhari na ikiwezekana kusiwepo kabisa safari zozote za majini, matokeo yake hakukuwa na tetemeko zaidi ya kukamatwa boti iliyokuwa imesheheni madawa ya kulevya!

Tafakari yangu inaanzia hapa, kwamba hii ilikuwa ni kuutangazia umma kuwa nguvu ya wauza madawa ni kubwa kiasi cha kuidanganya nchi na viongozi wake, hali kadhalika shirika la hali ya hewa nchini watangaze Habari za tukio hewa lenye manufaa ya mtandao wa wauza madawa ya kulevya?

Je, hii inatoa kiashiria gani kwa mamlaka zote Nchini, ni kwamba mtandao huo hatari hauwezi kushughurikiwa na chochote na kwamba kila mwenye kujaribu kuushughulikia hawezi kuishi?

Ni nani sasa wa kushughurikia mambo haya mawili nchini na akajihakikishia usalama wake?
 
Magufuli aliujua UGONJWA wake
 
ala kumbe ulikua unamwongelea fashist!!
 
Cha kwanza ni kujua, mengine yatapigwa Pini kidiplomasia
Ni kipindi gani cha kumtosha mwenye kutaka kujua na kisha aanze kuchukua hatua?

Umejua pesa zimefichwa na bado unalipa mishahara kwa wadaiwa na bado wapo mitaani? Hiyo ni nini eti?
 
Subiri mshughulikiwe, wezi wakubwa nyie
 
ala kumbe ulikua unamwongelea fashist!!
Hii ni kwa watu wenye IQ kubwa tuu!

Akili zao hazina mipaka kujifunza hata kwa waliowazidi Akili!

Hawana mipaka kujifunza hata kwa wasiowapenda!

Wajinga tu na wapumbavu ndo wanamipaka hiyo!
 
Subiri mshughulikiwe, wezi wakubwa nyie
We kweli akili ni ndogo! Yaani tarifa zote ziko njenje, na Mimi nimekwisha kujua kuwa ninahatia, na ninapesa nimeiba nakaaje kusubiri hili zali?
 
Binadamu wote ni jasiri! Hata mimi na wewe, sote ni majasiri na wakati mwingine vile viwango vyetu vya uvumilivu vinapokoma, nafsi na miili yetu hufika ukomo wa kuona maumivu kufaa kuvumilika tena, na hatimaye hujikinahi na kuona sawa tu kwa lolote! Na hapo mtu hukubali hata kukabiliana na kifo na kuudharau uhai tena kwa kuwa ni kama hauna maana tena juu ya hayo madhila anayopitia kwa wakati huo!

Umasikini mkubwa uliopo kwa wananchi, umesababishwa na baadhi ya watu wachache, mafisadi, wauza madawa, walamba asali na kuhodhiwa viongozi na wengi wakiwa chama dola ccm na hii ni kwa sababu moja tu, ni serikali kushindwa na ama kuwaogopa kuwashughulikia kwa nguvu yake

Leo ambacho nimepata wasaa wa kujiuliza saana na hata kupata maswali ni huyu binadamu ambaye kifo hakukiogopa kabisa tena kwa mambo ambayo si ya kifamilia ama yake mwenyewe bali alichagua kufa kwa ajili ya nchi, aliapa mwenyewe kuwashughulikia mafisadi na wauza madawa kwa nguvu zote na hata ikibidi yeye kufa

Huu ni ushujaa uliovuka mipaka hasa katika nchi zetu za watu weusi na webinafsi mno na wenye kujipenda wao kwa wao!

Hayati Magufuli tangu tu mwanzoni kabisa mwa Kampeni zake 2015 mara nyingi alionyesha kuwa alikuwa tayari kufa kwa ajili ya nchi yake, sababu tu ni kweli kwamba, mafisadi na majizi, yapo tayari kuuwa na hata kufanya kila aina ya figisu kwa kiongozi yeyote ili tu yaendelee kujipatia mkate kiulaini,

JPM alipoingia madarakani alitangaza vita juu ya watu hatari kabisa hapa Tz, Mafisadi na mauzaji ya madawa ya kulevya!

Ikumbukwe kuwa, kila aliyeanzisha vita na majitu kama hayo, historia ni mwalimu, wapo ambao walinyanyua midomo yao kujaribu kuwataja watu hao hatari, lakini kwa siku chache hawakuendelea kuishi!

Je, sasa, Rasimi kila mwenye kuanzisha vita na mafisadi, wauza madawa ya kulevya hawezi ishi?

Baada ya kifo cha JPM, kabla hata ya mwaka mmoja kupitia, Vyombo vya Habari nchini vililitangazia Taifa kuwa, siku fulani kutakuwa na tetemeko kubwa ambalo litaleta maafa hasa katika mwambao wa bahari yetu, Vyombo vya Habari vilitoa tahadhari kwa wavuvi, mabaharia na kwa wamiliki wa Vyombo vya majini kuwa, siku hiyo wajihadhari na ikiwezekana kusiwepo kabisa safari zozote za majini, matokeo yake hakukuwa na tetemeko zaidi ya kukamatwa boti iliyokuwa imesheheni madawa ya kulevya!

Tafakari yangu inaanzia hapa, kwamba hii ilikuwa ni kuutangazia umma kuwa nguvu ya wauza madawa ni kubwa kiasi cha kuidanganya nchi na viongozi wake, hali kadhalika shirika la hali ya hewa nchini watangaze Habari za tukio hewa lenye manufaa ya mtandao wa wauza madawa ya kulevya?

Je, hii inatoa kiashiria gani kwa mamlaka zote Nchini, ni kwamba mtandao huo hatari hauwezi kushughurikiwa na chochote na kwamba kila mwenye kujaribu kuushughulikia hawezi kuishi?

Ni nani sasa wa kushughurikia mambo haya mawili nchini na akajihakikishia usalama wake?
Ni mafisad wangap wapo jela? Powder ni kitu mbaya san kwa afya yetu lkn unapambanayo vp? Ile njia ya makonda 🤣🤣🤣. NB; aliejitolea Nchi hii kwa lolote ni JKN!! Wengine wote wapigaji tu!!
 
Back
Top Bottom